Mhhhhhhhh! Kwa penzi hili nadhani karibu nanyoosha mikono juu!

Mmhhh watu8 ww tena ndo hua unanifurahisha karibia kila post unayo comment humu, panua mdomo kiduchu onyesha meno, toa sauti hapo utakua ushacheka!

Kumbe kucheka ni rahisi namna hiyo...!!!

Hivi kumbe huwa wafurahishwa na niandikayo...hongera kwa kukuongezea siku bi mkubwa...
 
"Natamani kuachana nae ila
roho inaniuma – hela zangu."

Lol.....
 
Nimecheka sana, hata nakosa la kukushauri.
Chagua kumwacha na kusahau gharama ambazo umeshaingia au kukaa nae na kuingia gharama zaidi, njia zote zinaishia sehemu moja HUTO PATA UTAKACHO
 

Dah kaka kwenye majini hapo umeua! Kwamba yanapiga kazi si mchezo? Kama ndivyo umejuaje?
 
Kwa kawaida! kwa demu mya unatakiwa usihonge zaidi ya mara2, kwanza demu anakuzingua miezi 3-6 wa nn? unless unataka mke! na mama kijacho akianza na mizinga ujue maisha yatakuwa magumu mbeleni
 
Ulitoa laki mbili kwa papuchi ya nusu saa, kweli wajinga ndio waliwao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…