mhhhhh

Sijaelewa muujiza uko wapi hapo.naomba ufafanuzi zaidi. Au ngoja nisubiri wenye uelewa zaidi waje labda nipata picha.

Cc kabanga
 
Maisha hayo ni humu nchini tu wenzetu haya kwao miujiza ila tz kawaida....wee hujiuliz vijana tunatoka mbagala tunafanya kazi kwa wahindi tunalipwa mshahara 100, 000 nauli 2000 kila siku, kodi ya chumba 30, 000 kwa mwezi na kila siku tunakula chakula cha buku tukiwa kazi hebu tengeneza bajeti nione
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…