punguza hasira kiongozi,we unatakia umwambie mkeo maneno matamu kama anayoyasema huyu mwanamama.bwana weeee!!!!! ngoja ni mwambie mke wangu sijui atanielewa haya maneno, hasa nikirudi nimelewa na akileta hizo shombo zake za maneno , wewe malaya!!!
hahahaha nimeipenda
hahaaaaaa Master haiwezekani......
anawachochea wanaume kuendelea kufungua zipu zao
It's a controvesal statement lakini ndio ukeli hata kama unaumiza. Najaribu kuchora picha kichwani juu ya kitasa ambacho kila ufunguo unaingia na kufungua ...kila mtu atakuwa anaidharau hii nyumba!hahaaaaaa Master haiwezekani......
anawachochea wanaume kuendelea kufungua zipu zao
Mtu akitumia sahani zaidi ya moja kwa chakula ni sawa, ila watu wengi kula chakula kwenye sahani moja tunasema sio afya! Tafakari