Mhhh!!! Kweli hatuna rais!!!!!!!!!

Mhhh!!! Kweli hatuna rais!!!!!!!!!

Brandon

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2010
Posts
336
Reaction score
5
Nilikua naangalia taarifa ya habari ya ITV nikajikuta nimepatwa na hasira sana. siku zote najua jk brain yake haipo ok ila leo kadhibitisha asilimia mia kuwa there is a nut missing.

yaani alikuwa anaongea as if yupo kwenye mipasho ya taarabu eti ANAPONDA UZINIFU NA UVUNJIFU WA AMRI YA SITA YA Dr Slaa. nikajiuliza kichwani hivi hayo yanatuhusu nn ss raia. ss tunataka atuambie yy atatufanyia nn personal affairs za watu ss hazituhusu. kwanza yy ni mchafu kuliko hata anayemsema.

kwakweli busara zake ni 40%. housegirl wangu mwenyewe hana elimu lakini amemshangaa sana.

by the way,mi si mwanachama wa chama chochote ila kura yangu aisahauuuuuuuu.
 
Mh kumbe alitamka maneno "amri ya sita ya Slaa?" Sikupata kipengele hicho! Anyway, kwa ufupi ameishiwa sera na ahadi hewa, hana jipya!
 
......... housegirl wangu mwenyewe hana elimu lakini amemshangaa sana.......
Brandon, Unajua Elimu haiongezi busara au hekima ya mtu. Hawa mahouse geli wengine wanabusara na zinachemka kuliko vilaza wetu wengi tu, tatizo ni kuwa walinnyimwa hiyo nafasi ya kuendelea na masomo yao kwa sababu moja au nyingine, ila sababu ya msingi ni kuwa taifa (au tuseme uongozi wa taifa )ulishindwa/uliwaacha wa losti tu/taifa halikuwajali raia wake vizuri.

Ingekuwa kuna haki wengi wao wangeweza hata kuipeleka serikali mahakamani kuishtaki kwa kushindwa kuwapatia elimu japo ya watani!
 
Hivi nyie JK mnadhani yukom sawa kabisa? mbinu zenyewe za kampeni mnaziona mpaka akina shehe yahya na vitu vingine vya kijinga jinga tu. eti machinga complex kila wilaya hiyo moja imechukua muda gani eti jamani, jamaa anaahidi kama remote bila kufikiria akibonyezwa ana act.
 
Hayo maneno alisema lini? au ndo kampeni zetu za kibongo maana nakumbuka visu vya CUF! Sijui yaliishia wapi,na mpaka uchaguzi upite tutasikia mengi,:A S thumbs_up:
 
Wakati wa kampeni anazungumzia habari ya "kuvunja amri ya 6" na kuwa "zinaa ni haram" - yaani anaudhi sana - watu wamejazana uwanjani halafu anakuja na issue za uzinzi - halafu still anasema eti "hospital ya mwananyamala ataifanya iwe ya rufaa" - na kila wilaya itakuwa na hospital yake - AMESAHAU KUWA HAYO NI MAMBO AMBAYO NI YA KAWAIDA SANA KUFANYWA NA SERIKALI NA SIO SERA -

Mbona haongelei - MADINI YETU YANAVYOIBIWA? MBONA HAONGELEI RICHMOND? ----------- hana JIPYA KABSAAAAAAAA - KWA KWELI APISHE WENGINE JAMANI ..............OH! ANATUAIBISHA SANA WATANZANIA
 
Rais msanii, Rais anacheza kiduku, Rais anacheza bongo fleva - unategemea nini hatma ya nchi yako?
 
Wakati wa kampeni anazungumzia habari ya "kuvunja amri ya 6" na kuwa "zinaa ni haram" - yaani anaudhi sana - watu wamejazana uwanjani halafu anakuja na issue za uzinzi - halafu still anasema eti "hospital ya mwananyamala ataifanya iwe ya rufaa" - na kila wilaya itakuwa na hospital yake - AMESAHAU KUWA HAYO NI MAMBO AMBAYO NI YA KAWAIDA SANA KUFANYWA NA SERIKALI NA SIO SERA -

Mbona haongelei - MADINI YETU YANAVYOIBIWA? MBONA HAONGELEI RICHMOND? ----------- hana JIPYA KABSAAAAAAAA - KWA KWELI APISHE WENGINE JAMANI ..............OH! ANATUAIBISHA SANA WATANZANIA

na cha kushanganza wapo baadhi yetu mimi nawaita MAZUZU wanamshangilia huu upupu.
 
Nilikua naangalia taarifa ya habari ya ITV nikajikuta nimepatwa na hasira sana. siku zote najua jk brain yake haipo ok ila leo kadhibitisha asilimia mia kuwa there is a nut missing.

yaani alikuwa anaongea as if yupo kwenye mipasho ya taarabu eti ANAPONDA UZINIFU NA UVUNJIFU WA AMRI YA SITA YA Dr Slaa. nikajiuliza kichwani hivi hayo yanatuhusu nn ss raia. ss tunataka atuambie yy atatufanyia nn personal affairs za watu ss hazituhusu. kwanza yy ni mchafu kuliko hata anayemsema.

kwakweli busara zake ni 40%. housegirl wangu mwenyewe hana elimu lakini amemshangaa sana.

by the way,mi si mwanachama wa chama chochote ila kura yangu aisahauuuuuuuu.

Japo huoni mantiki ya ujumbe wake lakini haijuzu kumchagua Rais mzinifu, uzinifu ni moja ya dhambi kubwa kwa dini zote na kwa waislam adhabu yake ni kifo. Uzinifu huleta ufukara wa mali, magonjwa na mabalaa. Ukimchagua kiongozi mzinifu kuna hatihati nchi kutumbukia kwenye mabalaa na ufukara wa kupindukia. Tumia akili yako vizuri rudi kwenye maadiko matakatifu then fanya maamuzi ya busara.
 
Te te te teh Jk na Slaa nni mchafu te te te teh heri ya Slaa yye jk anawake na vijike vingapi?the guy is totally insane pole jk.
 
Give me a break Sokomoko! dhambi unaiona ni uzinifu tu? ameiba pesa ngapi akishirikiana na mafisadi wenzake? amedhulumu uhai wa watu wangapi? amepoteza uhuru wa watu wangapi? yy pia amezini na watu wangapi?

kila mtu ana dhambi,hakuna aliye msafi. sisi tunataka sera sio porojo zisizo kua na maana.
 
Mke+mdogo+wa+Kikwete+2.jpg
 
Huyu Mtu sijui kwanini anang'ang'ania urais? Sioni kama ana ajenda yoyote ya Maana kwa Watanzania.
 
Japo huoni mantiki ya ujumbe wake lakini haijuzu kumchagua Rais mzinifu, uzinifu ni moja ya dhambi kubwa kwa dini zote na kwa waislam adhabu yake ni kifo. Uzinifu huleta ufukara wa mali, magonjwa na mabalaa. Ukimchagua kiongozi mzinifu kuna hatihati nchi kutumbukia kwenye mabalaa na ufukara wa kupindukia. Tumia akili yako vizuri rudi kwenye maadiko matakatifu then fanya maamuzi ya busara.
orait, kama nimekupata sawasawa, unawaeleza waislamu wenzako?
Kwasababu mimi sio mwislam wala mkristo, wala swala la kiongozi gani anamvulia chupi mkewe/mmewe au hawara halinihusu, sio kidini tu, pia kiitikadi.

As far as the man/woman has demonstrated kuwa ni mtu makini, mtu mwenye maono, mtu anayefahamu umaskini wa mtanzania hautatuliwi kwa kauli mbiu n.k n.k. Mtu huyo nitamfikiria kumpigia kura yangu.
 
Japo huoni mantiki ya ujumbe wake lakini haijuzu kumchagua Rais mzinifu, uzinifu ni moja ya dhambi kubwa kwa dini zote na kwa waislam adhabu yake ni kifo. Uzinifu huleta ufukara wa mali, magonjwa na mabalaa. Ukimchagua kiongozi mzinifu kuna hatihati nchi kutumbukia kwenye mabalaa na ufukara wa kupindukia. Tumia akili yako vizuri rudi kwenye maadiko matakatifu then fanya maamuzi ya busara.

Kwa hiyo hiyo mijizi iliyotuibia yote EPA, Richard Monduli, Meremeta, Kagoda, Deep Green, Nk. orodha ni ndefu siyo dhambi ila kudhini tu? Kwani yeye nani kampa haki ya kuchukua nafasi ya Mungu kuhukumu? Mamlaka yake yako kwa hayo majizi ayashughulikie asichukue nafasi isiyo yake
 
Back
Top Bottom