Ok thanks for advise edi-kusini umeona ehh mapenzi ya mbali tabu nimeona. Nilijaribu nishashindwa njiani japo kijana ni mtu mzuri too kwa tabia.
Afadhali umenisaidia kumpa za uso,hata mimi nimemwambia amezuzuka sehemu,anataka kutufanya hapa watotoETI NIMECHOOOOKAAA!!!
Unadhani umekua wa kwanza kusoma nje eeh! .Hata mimi sa hivi ndo natoka ofisini so unaweza jua niliko (GMT-5) ila mpenzi wangu yuko Tz na tunawasiliana vzuri tu na tunapendana sana. Wewe nadhani hujitambui na unahitaji maombi. Kwani huko ulipo umeenda kutafuta mpenzi au ni maisha ndo yamekupeleka huko.Acha uzuzu wewe!!!
Kwahiyo unachotafuta hapa ni nini hasa? Mimi naona sijakuelewa labda!Jamani hamutambui miii sijaja kutafuta maisha tooo ila mkaazi wa nje hata nikienda home naenda kusalimia too na kurudi.ndo maana naanza kuchoka maana sijaja huku kusoma tooo naishi huku na familia na maisha yangu sana huku Junior R
Kwani si ulimpenda au. Manake huku nje bwana kumpata choice yako utata kwelikweli. Nimeona na ninawaona wadada wengi wanahangaika sana. Sasa kwanini ulimkubali ilhali wewe unaishi nje. Mi nadhani unakitu zaidi ya haya maneno ya kusema umechoka. Kama kweli inatoka moyoni mwako poa fanya kwa kadri ya nafsi inavyokutuma. Kuwa nje au tz sio sababu ya uchovu au doc itakua vigumu yeye kupata labda , nauliza tu. Unajua kuna umri watu wengi wanakukimbiza lkn ukipita utaja chagua wa ajabu hadi nomaa kumuintroduce we acha tu . Tena kama mnafahamiana toka bongo huyo mbona mzuri mno. Ushauri wangu fuata nafsi yako inavyokutuma.Jamani hamutambui miii sijaja kutafuta maisha tooo ila mkaazi wa nje hata nikienda home naenda kusalimia too na kurudi.ndo maana naanza kuchoka maana sijaja huku kusoma tooo naishi huku na familia na maisha yangu sana huku Junior R
una tatizo kubwa zaidi ya hili tunalolisoma hapa!Mie mdada but asante kwa ushauri kwani wewe unaishi nje. Swali wewe unaonaje vijana wa nje unawaamini maana ukiishi kwa sie wadada wengi hatujui hasa wanaume na tabia zao maana kila mtu na maisha yake. Ablessed