Mhh bunda wakarabati ofisi kwa sh 111M

Mhh bunda wakarabati ofisi kwa sh 111M

BONGOLALA

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2009
Posts
16,511
Reaction score
11,914
Aggrey mwanri ameagiza uchunguzi ufanyike kubaini ufisadi ktk ukarabati ya ofisi ya mkurugenzi halmashauri bunda.eti sh 111Milions zimetumika wakati kuna shule watoto wanasoma jengo moja madarasa mawili
 
kipi wanachunguza hapo?hawajui gharama za maisha zipo juu au wanafanya mzaha,inawezekana ikawa ni gharama sahihi au si sahihi,inapaswa ujue jengo lenyewe lipoje ni ghorofa au ?nakshi gani wameweka?wametumia bati za kawaida,zile za sauzi au vigae?je ,mafundi ni wa bunda au wametoka nje ya hapo then ndo tunaanza kuhoji,anyways ngoja mkurugenzi afanye research kwanza kwani no research,no right to talk.
 
kipi wanachunguza hapo?hawajui gharama za maisha zipo juu au wanafanya mzaha,inawezekana ikawa ni gharama sahihi au si sahihi,inapaswa ujue jengo lenyewe lipoje ni ghorofa au ?nakshi gani wameweka?wametumia bati za kawaida,zile za sauzi au vigae?je ,mafundi ni wa bunda au wametoka nje ya hapo then ndo tunaanza kuhoji,anyways ngoja ifanyike research kwanza kwani no research,no right to talk.
 
Nothing to cheer! Uchunguzi, report watajitunzia wenyewe!
 
Back
Top Bottom