Mheshimu Mkeo

Mheshimu Mkeo

Hio energy kuna wanaume imewajaa ambapo hupelekea kua km wanawake, ukitaka kua na mwanamke inabidi uwe mwanamke unapoona ndoa usidhani wanaoana pale ni mwanaume na mwanamke hell no but mwanaume amejivua uanamume amevaa energy ya mwanamke yuko absorbed with feminine energy anapoteza masculine energy aliyonayo kwa ajili ya kumpendezesha na kukuridhisha mwanamke,

Ndio maana mtoa mada anakazia unapokua na mwanamke ndani na wewe inabidi uwe na tabia za kike kike (feminine) ili muweze kwenda sawa, jivue u masculine wako then kua soft soft, mdekeze, mchekee, usimfokee, usimseme vibaya, usimkemee, usimkalipie, usimpige makwenzi na mangumi, usimzodoe, usimcheke, na usimchezee vibaya, usimpige mbele za watu, usimseme vibaya mbele za watu, usimkaripie mbele za watu, thamini muda wake, mfanye atabasamu kila unapokua nae

Mwanaume mbele ya mwanamke usijtie uanaume na wewe vaa uanamke mtaenda sawa, ukijitia mbabe kila mwanamke ataingia mitini, usichokijua ni wanapenda kupokea kuliko kutoa na hawapendi kupokea vibaya wanapenda kupokea vizuri tu, mpe gari, mpe nyumba, mpe kiwanja, mpe mtaji, mpe biashara, mpe kiwanda, mpe kampuni, atapokea kwa mikono miwili mikunjufu, mwanamke ameumbwa kupokea, mpe mbegu kwenye yai lake atakuletea mtoto.

Future is Female nani anakataa?
"Mwanaume mbele ya mwanamke usijtie uanaume na wewe vaa uanamke mtaenda sawa, ukijitia mbabe kila mwanamke ataingia mitini..."
[emoji115]
Labda wa kwako ndiye atakayeingia mitini. Siyo wa kwangu mimi.
Mimi ni mbabe na sijajifanya mwanamke kama wewe, na mpenzi wangu ananikubali the way nilivyo.
 
Sijui jinsia yako ila ...👇👇👇 ...hasa kama ni mwanamke 😁
Sawa mkuu Ila sijamaliza hapo nimeishia kwenye kiulizo, km umekubari basi na wewe utakua umemaliza na kuashiria hilo inaonyesha wazi kua wewe pasinashaka yoyote wala kukoleza maneno wewe ni mwanamke.
 
Labda wa kwako ndiye atakayeingia mitini. Siyo wa kwangu mimi.
Mimi ni mbabe na sijajifanya mwanamke kama wewe, na mpenzi wangu ananikubali the way nilivyo.
Siku akikuchoka ndio utajua nini nmemaanisha, endeleza kua mbabe ukiwa unamtomba mchape makosi mtie mangumi, namna hio au sio yaani usimletee mahaba kabisa piga mangumi huku unamtia mfumue unavyoweza Ila siku moja utaleta simulizi humu, km hufanyi hivyo basi itakua haujanielewa na una tabia za kike, umenisoma kwa kukurupuka na mihemko hujitambui na hujui nini nimemaanisha
 
Siku akikuchoka ndio utajua nini nmemaanisha, endeleza kua mbabe ukiwa unamtomba mchape makosi mtie mangumi, namna hio au sio yaani usimletee mahaba kabisa mfumue unavyoweza Ila siku moja utaleta simulizi humu, km hufanyi hivyo basi itakua haujanielewa na una tabia za kike, umenisoma kwa kukurupuka na mihemko hujitambui na hujui nini nimemaanisha
"endeleza kua mbabe ukiwa unamtomba mchape makosi mtie mangumi, namna hio au sio yaani usimletee mahaba kabisa mfumue unavyoweza"
[emoji115]
Huo ni utaahira na si hulka yangu. Ninamuheshimu mno na ninasimama mno kwenye nafasi yangu ya uanaume. Na anajua hilo.
 
Huo ni utaahira na si hulka yangu. Ninamuheshimu mno na ninasimama mno kwenye nafasi yangu ya uanaume. Na anajua hilo.
Sio utahira hio ndio maana halisi ya mwanaume km hufanyi hivyo wewe una vinasaba vya uanamke,
 
Sio utahira hio ndio maana halisi ya mwanaume km hufanyi hivyo wewe una vinasaba vya uanamke,
Sasa kwa nini umpige kwenye tendo la ndoa? Kakukosea nini? Unamtukana bila sababu kakukosea nini? Mimi sipo hivyo, huenda nikawa na vinasaba vya kike.
Ila tu akizinguaga namzingua mara 10 zaidi. Sina mswalie mtume
 
Mimi sipo hivyo, huenda nikawa na vinasaba vya kike.
Ndio nilichokizungumzia kua wanaume wana vinasaba vya uanamke, kumbe ulijibu kwa kukurupuka, ili uende sawa na mwanamke uwe na vijitabia vya kike, elewa hivyo mkuu ukiona unaenda sawa na mke jua wewe una vijitabia vya kike ambavyo vinamvutia mkeo, ukileta tabia za kiume au kiuanamume lazima mtatibuana tu tena haitachukua muda mrefu kukulalamikia na kukuona humfai
 
jitahidi uishi unachokiandika pia, maana sometimes mtu unaweza akatabasamu huku roho inauma ilimradi awaokote watu fulani.
 
Ndio nilichokizungumzia kua wanaume wana vinasaba vya uanamke, kumbe ulijibu kwa kukurupuka, ili uende sawa na mwanamke uwe na vijitabia vya kike, elewa hivyo mkuu ukiona unaenda sawa na mke jua wewe una vijitabia vya kike ambavyo vinamvutia mkeo, ukileta tabia za kiume au kiuanamume lazima mtatibuana tu tena haitachukua muda mrefu kukulalamikia na kukuona humfai
Sasa we' unaogopa kulalamikiwa?
 
Back
Top Bottom