Mkereketwa_Huyu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 10,588
- 7,965
Khaaaa, ndiyo huyu? Sasa hapo ni uzuri gani mnaozungumzia, mbona ni wa kawaida sana? Mitaani hafui dafu kwani wapo wanaomshinda ile mbaya.
Nimeshafanya hivyo. Huyu dada ni mzuri wa kutisha.daah hivi umeshawahi kukutana na huyu mheshimiwa uka mcheki kwa umakini kabisa kuanzia juu mpaka chini..?