Mheshimiwa sana Chimbuvu......

Mheshimiwa sana Chimbuvu......

Mzee nakuheshimu,acha kuingilia anga zangu ,ninatembea na tindikali ohoooo

Nkwara tu huo we nsee, sie kwetu hiyo tindikali ndo tunaitumia kama juice tukishushia na Vibama.
c.c Bujibuji (kwa ajili ya ufafanuzi kuwa vibama ni nini)
 
Last edited by a moderator:
Onyo.
Kufukuzia wake za watu ni hatari kwa afya ya uso wako.
Tindikali ipo tayari,vijana wapo tayari,angalia mabilionea wenzako hapo arusha either uwafuate huko ama uachane na wazo la mimisa ili uweze endelea na maisha yako na familia


Chimbuvu sikushauri uingie kwenye mgogoro na mimi...
Achana na huyu binti km unajipenda...kwanza kuna kitu nataka kukifanya kuwadhibiti nyie walaku hapa namaaisha wewe Bishanga nitonye Baba V na mnaowajua bila kumsahau pendapenda Mr Rocky
 
Last edited by a moderator:
Onyo.
Kufukuzia wake za watu ni hatari kwa afya ya uso wako.
Tindikali ipo tayari,vijana wapo tayari,angalia mabilionea wenzako hapo arusha either uwafuate huko ama uachane na wazo la mimisa ili uweze endelea na maisha yako na familia

Hivi unatishia b52 kwa tindikali?
Utaniweza???? Kawaulize afghanstan watakupa report nilivyochimba milima ya Torabora
 
Last edited by a moderator:
Angalia hata south africa hawawezi kutibu tindikali ohooooooooo itakula kwako

Hivi unatishia b52 kwa tindikali?
Utaniweza???? Kawaulize afghanstan watakupa report nilivyochimba milima ya Torabora
 
Back
Top Bottom