mimisa mbona ni mwaka wa sita huu tulishaachana na Madame B baada ya kukimbia na vijisenti nilivyoviacha nyumbani?
Madame B wangu wa zamani,
Wewe ndie wangu wa thamani,
Moyo mwingine haumtamani,
kama Bishanga anajidai na vyake vya thamani,
basi wewe kwangu umezidi kifani,
natamani kulala kwako mapajani,
machozi unifute usoni,
nikuvike vidani vya thamani.
Ndani tuishi kwa amani.
mume wa mtu ni sumu..
mimi sitaki...
mume wa mtu ni sumu..
mimi sitaki...
mimisa umekosea,hebu angalia moyo wako ndani,machozi yanavyobubujika,
nakupenda,mimi sina mke kabisa,
Madame B unayemuona ama kumsikia alikuwa housegal wa nyumbani kwangu na sasa kaolewa na Ben Saanane nikubali mimisa wala hutojutia uamuzi wako wa kupenda.
Najua kupenda mimi mpaka akina Bishanga wanakuja kujifunza toka kwangu.
Njoo nikuonyeshe mapenzi ya kweli
Mi nimekuona wewe
apa kuna nini?
mume wa mtu ni sumu..
mimi sitaki...
Ntakupa maziwa bure...