Ndugu yangu hili swala la maslahi kwa ujumla wake, wala si hayo tu ya uhamisho wenu, kuna watu walishakuwa miungu watu, na kama hata Magufuli ataondoka madarakani likiwa halijaisha, basi tujue kuwa ndiyo tumeliwa. Kuna watu walishahalalisha haramu, kwamba yeye kula hela ya mtu mwingine ndiyo halali yake. Naongea haya kwa sababu hata mimi ni mhanga wa mambo kama haya, tena ya kwangu yako kwenye WORST CASE SCALE. Hii nchi wewe iache tu, yaani kuna miungu Nchi hii, wanafanya wanavyotala na wanavyopenda!Nianze kutoa pongezi kwa yale mazuri unayoyafanya na Mungu akusimamie kwa kila zuri unaloliandaa kwa mustakabali wa nchi yetu ya tanzania
Nikija kwenye mada,katika moja ya mazungumzo yako Mh. Rais uliwahi kukemea sana suala la uhamisho kwa watumishi hasa uhamisho ule wa ubabaishaji au uonevu ambao unafanywa na baadhi ya Watendaji wa serikali yako. Pia kama haitoshi ukatamka kwamba endapo mtumishi atahamishwa basi alipwe stahiki zake za uhamisho mara moja iwezekanavyo ikiwemo posho ya usumbufu na posho ya kujikimu. Pia ukasisitiza kuwa mtumishi asikubali kuhama endapo hajalipwa stahiki zake za uhamisho.
Katika Halmashauri hii ya Wilaya Korogwe Watumishi wamekua wakihamishwa kuanzia pale ambapo wewe ulitoa matamko hayo na wamekua hawalipwi stahiki zao pamoja na kuomba kulipwa madai hayo na pamoja na kukumbushia madai hayo na majibu wanayotoa Maafisa Utumishi ni kuwa madai yamefanyiwa hesabu na siku yeyote yatalipwa hiyo ndio imekua 'Ngonjera' yenyewe
MH RAIS ULIONE HILI
Ndugu yangu hili swala la maslahi kwa ujumla wake, wala si hayo tu ya uhamisho wenu, kuna watu walishakuwa miungu watu, na kama hata Magufuli ataondoka madarakani likiwa halijaisha, basi tujue kuwa ndiyo tumeliwa. Kuna watu walishahalalisha haramu, kwamba yeye kula hela ya mtu mwingine ndiyo halali yake. Naongea haya kwa sababu hata mimi ni mhanga wa mambo kama haya, tena ya kwangu yako kwenye WORST CASE SCALE. Hii nchi wewe iache tu, yaani kuna miungu Nchi hii, wanafanya wanavyotala na wanavyopenda!
Ila halmashauri ya wilaya korogwe ni too much,NI CHAFU MNO,pengine wamo humu na walisikie hili na MH RAISI ALIPATE HILI
Bora anayepunja zile ambazo hazitokani na mshahara wako, kuliko yule anayelazimisha kukata mshahara wako kwa nguvu a kukulipa mshahara usiostahili kwa miaka nenda rudi na ukifuatilia anaanza kutengeneza mbinu ufukuzwe kazi na mengine mengi ya ajabu yanayofanana na hayo. It takes courage to withstand a situation like this, ila kwangu mtu kama huyo kwangu ndiyo anakuwa amefika. It's as simple as ABC. Nilishawahi kumwachia mtu gari mpya imetoka Japan na sikuwa na gari nyingine, na nilitembea kwa mguu miaka mitatu solid!. Hili la mshahara ni peanut kwangu, as long as naweza kupata mshahara, na ajira yangu ipo, sifukuzwi kazi. Wana mtandao wao mpaka huko nje, ukianza kuwadai wananaanza kutengeneza mbinu ufukuzwe kazi.
They dominate us with violence
They dominate us with violence