Mheshimiwa Raisi wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania agizo lako halitekelezwi Halmashauri ya Wilaya Korogwe

the kind

JF-Expert Member
Nov 6, 2019
728
504
Nianze kutoa pongezi kwa yale mazuri unayoyafanya na Mungu akusimamie kwa kila zuri unaloliandaa kwa mustakabali wa nchi yetu ya tanzania

Nikija kwenye mada,katika moja ya mazungumzo yako Mh. Rais uliwahi kukemea sana suala la uhamisho kwa watumishi hasa uhamisho ule wa ubabaishaji au uonevu ambao unafanywa na baadhi ya Watendaji wa serikali yako. Pia kama haitoshi ukatamka kwamba endapo mtumishi atahamishwa basi alipwe stahiki zake za uhamisho mara moja iwezekanavyo ikiwemo posho ya usumbufu na posho ya kujikimu. Pia ukasisitiza kuwa mtumishi asikubali kuhama endapo hajalipwa stahiki zake za uhamisho.

Katika Halmashauri hii ya Wilaya Korogwe Watumishi wamekua wakihamishwa kuanzia pale ambapo wewe ulitoa matamko hayo na wamekua hawalipwi stahiki zao pamoja na kuomba kulipwa madai hayo na pamoja na kukumbushia madai hayo na majibu wanayotoa Maafisa Utumishi ni kuwa madai yamefanyiwa hesabu na siku yeyote yatalipwa hiyo ndio imekua 'Ngonjera' yenyewe

MH RAIS ULIONE HILI
 
Pole sana! Ikibidi nenda kwenye ofisi husika ukadai haki yako. Mwisho wa siku usikate tamaa kututumikia watu wa Korogwe.
 
Tumeshakufahamu na kumbuka "Credit card" yako haitafanya kazi kuanzia tarehe 24 Nov. mwaka huu kwani "hatuhitaji watumishi wanaoshinda mitandaoni kupika majungu"
 
the kind
Kilio chako tumekisikia najua hapo kuna majipu 2. Huyo mkuu wa wilaya ambae hana hata plan B ikitokea dharula yoyote na huyo mkurugenzi ambae habari zake nyingi zimefika panapohusika. Usikae mbali na redio baada ya uchaguzi.
 
Nianze kutoa pongezi kwa yale mazuri unayoyafanya na Mungu akusimamie kwa kila zuri unaloliandaa kwa mustakabali wa nchi yetu ya tanzania

Nikija kwenye mada,katika moja ya mazungumzo yako Mh. Rais uliwahi kukemea sana suala la uhamisho kwa watumishi hasa uhamisho ule wa ubabaishaji au uonevu ambao unafanywa na baadhi ya Watendaji wa serikali yako. Pia kama haitoshi ukatamka kwamba endapo mtumishi atahamishwa basi alipwe stahiki zake za uhamisho mara moja iwezekanavyo ikiwemo posho ya usumbufu na posho ya kujikimu. Pia ukasisitiza kuwa mtumishi asikubali kuhama endapo hajalipwa stahiki zake za uhamisho.

Katika Halmashauri hii ya Wilaya Korogwe Watumishi wamekua wakihamishwa kuanzia pale ambapo wewe ulitoa matamko hayo na wamekua hawalipwi stahiki zao pamoja na kuomba kulipwa madai hayo na pamoja na kukumbushia madai hayo na majibu wanayotoa Maafisa Utumishi ni kuwa madai yamefanyiwa hesabu na siku yeyote yatalipwa hiyo ndio imekua 'Ngonjera' yenyewe

MH RAIS ULIONE HILI
Ndugu yangu hili swala la maslahi kwa ujumla wake, wala si hayo tu ya uhamisho wenu, kuna watu walishakuwa miungu watu, na kama hata Magufuli ataondoka madarakani likiwa halijaisha, basi tujue kuwa ndiyo tumeliwa. Kuna watu walishahalalisha haramu, kwamba yeye kula hela ya mtu mwingine ndiyo halali yake. Naongea haya kwa sababu hata mimi ni mhanga wa mambo kama haya, tena ya kwangu yako kwenye WORST CASE SCALE. Hii nchi wewe iache tu, yaani kuna miungu Nchi hii, wanafanya wanavyotala na wanavyopenda!
 
Ila halmashauri ya wilaya korogwe ni too much,NI CHAFU MNO,pengine wamo humu na walisikie hili na MH RAISI ALIPATE HILI

Bora anayepunja zile ambazo hazitokani na mshahara wako, kuliko yule anayelazimisha kukata mshahara wako kwa nguvu a kukulipa mshahara usiostahili kwa miaka nenda rudi na ukifuatilia anaanza kutengeneza mbinu ufukuzwe kazi na mengine mengi ya ajabu yanayofanana na hayo. It takes courage to withstand a situation like this, ila kwangu mtu kama huyo kwangu ndiyo anakuwa amefika. It's as simple as ABC. Nilishawahi kumwachia mtu gari mpya imetoka Japan na sikuwa na gari nyingine, na nilitembea kwa mguu miaka mitatu solid!. Hili la mshahara ni peanut tu kwangu, as long as naweza kupata mshahara, na ajira yangu ipo, sifukuzwi kazi. Wana mtandao wao mpaka huko nje, ukianza kuwadai wananaanza kutengeneza mbinu ufukuzwe kazi.
 
They dominate us with violence
Bora anayepunja zile ambazo hazitokani na mshahara wako, kuliko yule anayelazimisha kukata mshahara wako kwa nguvu a kukulipa mshahara usiostahili kwa miaka nenda rudi na ukifuatilia anaanza kutengeneza mbinu ufukuzwe kazi na mengine mengi ya ajabu yanayofanana na hayo. It takes courage to withstand a situation like this, ila kwangu mtu kama huyo kwangu ndiyo anakuwa amefika. It's as simple as ABC. Nilishawahi kumwachia mtu gari mpya imetoka Japan na sikuwa na gari nyingine, na nilitembea kwa mguu miaka mitatu solid!. Hili la mshahara ni peanut kwangu, as long as naweza kupata mshahara, na ajira yangu ipo, sifukuzwi kazi. Wana mtandao wao mpaka huko nje, ukianza kuwadai wananaanza kutengeneza mbinu ufukuzwe kazi.
 
They dominate us with violence

They might have weighed their "violence" using a faulty spring MECHANICAL balance. I'm not sure if they are still that much violent, especially at this 5th phase Government hour. They might just be under a simple mere illusion!
 
the kind usijali kaka. Walioumia ni wengi lkn jipe moyo hata Idd Amin aliachia ngazi siku ilipowadia. Sembuse mkuu wa wilaya na mkurugenzi? Tamko tu linamsambaratisha
 
Nakukumbusha tu "credit card" yako itatoa "plain paper" ifikapo tarehe 24 Nov.mwaka huu utakapoiingiza kwenye "ATM Machine" maana ndiyo inayokupa kiburi !
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom