Mheshimiwa Rais Samia bado angali hai

Yah alikuwa anatupa michango mingi
Tatizo alikuja kukamatika kwenye V. A. R
Akiwa na multiple IDs
Moja alitamba hapa kama mtu mwenye pesa nyingi
ID nyingine ni winga Kariakoo
ID nyingine anajifanya kutafutia watu kazi
ID nyingine akijifanya yupo USA
ID nyingine akijifanya mgonjwa wa Kansa akiomba michango ya matibabu
Hayo ndo yalitupa hofu na kuona huyu mtu sio mwema.
Na Sasa amerudi IDs nyingi, ngonja nikitulia vizuri niingie V.A.R kuichunguza
Na HAYA LAND alivo kilaza Huwa anaacha alama
 
Lucas Mwashambwa amenituma nikutume ukaulize kwa iziraili ya kwamba hata lini iziraili atajitwalia roho wa samia suluhu?
 
Una maana huyu muuaji ataishi milele yote? Kifo hakiepukiki hata wewe utakufa na mimi pia nitakufa
 
Pamoja na vijana wangu potezwa 29 Oct uyu mama simwombei kifo namwombea ajiuzuru maana ana watoto na wajukuu ,sie ndio tumepoteza, hakuna chochote naweza kulipwa mbadala wa vijana wangu, naweweseka kila mda , kila nikiangalia picha zao siamini Mungu nipe ujasiri mpya .

Kwamba nimewatunza vijana wangu alafu wamekufa kijinga tu, why ujaanza nitanguliza mie Mungu wangu
 
Hata jiwe ilikuwa hivi hivi kafa mara anajtokeza, huyu form four failure sku zake znahesabiki ni htr sn watu wakianza kudai umekufa ksa hawakuoni ujue umekaribia kwenda.
 
Kufa tunakufa ni neno la mungu lakini sio vizuri kuombeana kufa.
Vip kuhusu kuua? Maana auae kwa upanga nayeye atakufa kwa upanga. Usisahau ndugu zetu kwa maelfu damu zao zimemwagwa kwa sababu ya tamaa za mtu mmoja
 
Ni ukweli unaouma kwa kweli nawashauri mkatoe kwa watoto yatima ili ku boost energy yenu!!!
 
Wewe ndiyo bwege, ulishindwa kuwaongoza vijana wako mpaka wakaingia mkenge wa maandamano ya MangeKimambi na Maria Sarungi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…