juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,463
Tafadhari kama wewe sio GT usichangie chochote kile.na maneno kam "elimu yako ni ndogo,uwezo wako wa kufikiri umeishia hapo,akili yako ni ndogo" kwa GT yeyote huwa hayapo.
Sasa niingie kwenye mada,wanajf wote tunafahamu ya kwamba raisi wetu kipenzi mtumbua majipu makubwa na mdogo(japo majipu hayana uwiano) mheshimiwa MAGUFURI kipindi cha kampeni aliahidi mambo lukuki,moja ya ya ahadi ametimiza(elimu bure) ,lakini ahadi zake zingine ni kutoa sh.bilion 50 kwa kila kijiji(japo sijui atazitoa wapi),sasa ni siku mia na ushee zimekata lakni ahadi hiyo sioni hata katika hotuba zake akiiongelea,na ni ahadi pekee ambayo Magufuri huwa hazungumzii,kifupi ni kwamba anaikwepa.kifupi ni kwamba nakukumbusha raisi au kama kuna watu wapo karibu nae tafadhari wamkumbushe.bibi yangu wa kijijini anasubiri sana huo mgao wa hizo pesa mana alimpa kura Magufuri,tunakuomba mheshimiwa gawa hizo pesa basi ,