Mheshimiwa Msigwa ndani ya Dk 45 ITV

Mheshimiwa Msigwa ndani ya Dk 45 ITV

Mawingi

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2013
Posts
213
Reaction score
44
anasema ukweli haya yote tunafanya kwa masilahi ya taifa
 
anasema wauwaji wa tembo wanajulikana
 
anasema ukweli haya yote tunafanya kwa masilahi ya taifa

ciyo lazma upost uzi humu,kama huna cha kuandka ulale hata hvyo ni usiku!!na umkumbushe huyo apeleke hela ya rambmbi ya mjane wa mwangosi aliyokula
 
Msigwa anamwaga .Anaitwa Tembo mchungaji Msigwa ndugu Mbunge.Anashangaa waziri naye analalamia si utani ,
 
anasema wauwaji wa tembo wanajulikana

namsikia ,kwa jinsi anavyotoka kipovu , ni kama hao majangili anawajua kwa nini hawataji ? Yeye anasema wanajulikana na kataja sehemu kibao ,hivyo yeye anaweza kuwa chanzi kizuri cha kuwataja hao vigogo ,vinginevyo atakuwa anajikosha ,na kila kitu namshukuru Raisi ,jeshi linapoingia lina aina yake ya kiutendaji ndivyo alivyosema amekusudia jeshi nalo litaharibu ,alisitisha kusema hivyo.
 
ciyo lazma upost uzi humu,kama huna cha kuandka ulale hata hvyo ni usiku!!na umkumbushe huyo apeleke hela ya rambmbi ya mjane wa mwangosi aliyokula

umelazimishwa kuchangia uzi huu
 
Kuhusu Tembo wetu wanaouwawa na majangili ambao miongoni mwao kuna vigogo wa serikali
 
Anazidi kudai kuna watu wanajulikana ,hivi yeye kama anawajua awataje hapo au nae anaogopa ,penginehapo sio pahala pake.
 
namsikia ,kwa jinsi anavyotoka kipovu , ni kama hao majangili anawajua kwa nini hawataji ? Yeye anasema wanajulikana na kataja sehemu kibao ,hivyo yeye anaweza kuwa chanzi kizuri cha kuwataja hao vigogo ,vinginevyo atakuwa anajikosha ,na kila kitu namshukuru Raisi ,jeshi linapoingia lina aina yake ya kiutendaji ndivyo alivyosema amekusudia jeshi nalo litaharibu ,alisitisha kusema hivyo.

sizani kama unaelewa walicho mwitia hapo kwenye kipindi hawajamwita ataje majangiri mwenye dhamana yakuwataja ni wazili kama hujui yeye kaziyake nikufafanua na kumwambia wazili afatilie
 
Anazidi kudai kuna watu wanajulikana ,hivi yeye kama anawajua awataje hapo au nae anaogopa ,penginehapo sio pahala pake.

ndio lazima ajikite kwenye mada waliyo mwitia kuzungumza
 
siyo kazi yake kuwataja kwa sababu hata waziri mwenyewe anawajua awakamate hakika msigwa ana mwaga point kuwa majangiri ndiyo wanadhamini ccm
 
Ila Msigwa Kidogo..kichwani yuko timamu, huwezi kumfananisha na LEMA.
 
tatzo lako unafikria kwa kutumia tumbo ndo mana hujanielewa!!

we ndo unatumia miguu kufikilia unajua nini kinazungumuzwa hapo hapo hawajamwita kutaja majangili
 
Anazidi kudai kuna watu wanajulikana ,hivi yeye kama anawajua awataje hapo au nae anaogopa ,penginehapo sio pahala pake.
Hana lolote wala hana jipya ni wale wale tu wanaopigana kwenye vikao.
 
yan leo ccm awana hamu na msigwa itv hakika ana mwaga vitu walizoea kununua hichi kipindi sasa naona mengi kawatosa
Pia msigwa anasema mahotel ya kitalii wameingia mikataba ya ajabu sana na serikali ambayo watanzania wakijua wataumia sana
 
Anazidi kudai kuna watu wanajulikana ,hivi yeye kama anawajua awataje hapo au nae anaogopa ,penginehapo sio pahala pake.

Una machungu sana sasa hadi unashindwa kuwaza straight .Pole kaka msikilize vyema .
 
Back
Top Bottom