Mheshimiwa Mbunge/Mwenyeki/Mkurugenzi!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mheshimiwa Mbunge/Mwenyeki/Mkurugenzi!!!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Akili Unazo!, Jul 7, 2009.

 1. Akili Unazo!

  Akili Unazo! JF-Expert Member

  #1
  Jul 7, 2009
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 2,755
  Likes Received: 2,345
  Trophy Points: 280
  Wakuu nimekuwa nikisikia kila kukicha wabunge wakiwa wanachangia hoja bungeni huwa wanatumia neno '' mheshimiwa mwanyekiti,spika,waziriri na naibu waziri' hivi hili neno ni kutukuza kuona kuwa wabunge ni watu tofauti na watu wengine au nini hasa tafsiri halisia ya neno hilo au litakuwa kosa kumwita waziri au mbunge au spika bila kutanguliza neno mheshimiwa?au utaadhibiwa na kanuni za bunge?

  Wakuu msaada wa mawazo!!
   
 2. Sophist

  Sophist JF-Expert Member

  #2
  Jul 7, 2009
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 3,078
  Likes Received: 1,724
  Trophy Points: 280
  karagabaho!
   
Loading...