Ndugu wadau,
Namleta kwenu Mheshimiwa Juma Suleimani Nkamia (Mbunge), kutoka Kondoa Kusini CCM, aliwahi kuwa mtangazaji wa RTD, VOA, BBC na TBC , pia aliwahi kuwa katibu mwenezi wa wekundu wa Msimbazi.
Mheshimiwa huyu kwa wale wanaofuatilia vikao vya bunge alitoa kauli tata kwamba haongei na Mbwa ila na mfuga mbwa. Na hivi majuzi iliripotiwa kuwa alimporomoshea maneno mazito na vitisho mbunge mwenzake wakiwa bungeni. Nimejaribu kuangalia sehemu ya CV yake na kuona jinsi ambavyo education wise hakuwa stable (nomad) especially Primary school na high school.
Hapa nieleweke vyema siwasakami waliohamahama shule enzi zao kwani yawezekana ni kutokana na ajira walizokuwa nazo wazazi wao. ( Although kwa Juma the case may be true for primary school) Sasa kwa kufuatilia mind instability yake kama Mbunge na jinsi alivyohama high schools tatu. Mnafikiri inawezekana ni suala la kitabia likachangia kuhama shule 3 au kuchelewa kumaliza shule. Pia kwa kutathmini tabia zake waweza kupata picha ya historia ya makuzi ya Mheshimiwa Juma, na kama unavyoona instability yake je mwaka 2015 inawezekana akatetea jimbo lake na instability yake?
Naomba kuwakilisha!
Iyoli Primary School, Kondoa Primary Education 1980 1984 PRIMARY
Bicha Primary School, Kondoa Primary Education 1978 1980 PRIMARY
Sengerema High School A-Level Education 1991 1991 HIGH SCHOOL
Mzumbe High School A-Level Education 1991 1992 HIGH SCHOOL
Same Secondary School A-Level Education 1989 1990 HIGH SCHOOL