Ibada ya kwanza
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 3,282
- 1,810
mkuu nime msifia Tundu Lissu kwa sababu ana stahili pongezi maana amesema ukweli mtupu na si vyema kuacha bila kumpongeza.
vyombo vya habari siyo vya kupiga kelele kama lisu yeye apige kelele wenzake wanafanya kazi kitaaluma.
Lissu anatafuta maneno na Lema pamoja na Mbowe.
hongera sana Tundu Lissu bora umekiri mjipange sasa kuongeza chopa.
nina wasiwasi na maji marefu
kwa hiyo mkeo akichukuliwa na midume na wewe ukashuhudia ukijakutueleza mkasa, tukuite mzalendo? Acha ushabiki wa kisengen yaji
hapo anamlenga lema na sugu lakini haya yeye lisu kwa msando alichemka mpaka akaiomba mahakama kuendesha kesi kwa kiswahili.
yaan mambo ya zaman umeshindwa ata kuzungumzia isue ya kinana na kina makonda na lowasa ---- kweli wewe
Hongera sana Tundu Lissu bora umekiri mjipange sasa kuongeza Chopa.
Kwa Sugu nitakupinga kuna mtu alileta thread yke akimlalamikia Sugu kutumia kiingereza ambacho si kizuri kama kiongozi.Kwa watu wengi watumiao kiingereza kile lazma wawe wameishi uko au cha halali anakifahamu.Nadhani bunge lingetumia kiingereza Lukuvi asingeomba miongozo.
nini maana ya kutikisika, kutikisika sio kwamba chama sio imara.mtikisiko ndo unaonyesha hiki chama ni imara au laa,........ikitokea mtikisiko na kikabaki imara bila athari yoyte wala ufa, basi ni dhahili chama hicho ni imara.
Mtikisiko ilio upata chadema ni mkubwa ila ila kwakuwa kina msingi imara hakuna ufa wowote tunao uona uliosababishwa na mtikisiko huo kwa chadema. Mimi sio mshabiki wa siasa sana lakini nadhani watnzania wataniunga mkono kila siku iitwayo leo chadema inafanya vizuri na na inazidi kukubalika
Nini maana ya kutikisika, kutikisika sio kwamba chama sio imara.mtikisiko ndo unaonyesha hiki chama ni imara au laa,........ikitokea mtikisiko na kikabaki imara bila athari yoyte wala ufa, basi ni dhahili chama hicho ni imara.
mtikisiko ilio upata CHADEMA ni mkubwa ila ila kwakuwa kina msingi imara hakuna ufa wowote tunao uona uliosababishwa na mtikisiko huo kwa CHADEMA. Mimi sio mshabiki wa siasa sana lakini nadhani watnzania wataniunga mkono kila siku iitwayo leo CHADEMA inafanya vizuri na na inazidi kukubalika