mshumbue-soi
JF-Expert Member
- Aug 28, 2013
- 1,842
- 1,147
- Thread starter
-
- #21
sijui kwa nini hawakumweka kwenye tume ya katiba, angefaa sana kwa elimu yake ya kisheria..
ukiwa ccm lazina uwe pun gu one!
Nenda uko kataja hadi wasomi wabovu,wapi kasema Lema na Mbowe..Lissu anatafuta maneno na Lema pamoja na Mbowe.
uongo. Najua wewe learned lawyer ni pro magamba. Kuna post nyingine hapa ya ukweli. Mods ondoeni hii imetiwa chumvi na inapotosha.