ajabu ni mbona babuyo anatembea na mkongojo/bakora acha kushangaa utalipia pesa
ooh usije mjini maana macho yako hayaoni basi yeye ndiye alikuwa anapuliza kwa mgeni ulitaka awe nani,
Conquest-njaa inauwa kukodi bendi ingekuwa noma akajitosa yeye ameingiza pesa hapo