sir.JAPHET
JF-Expert Member
- May 18, 2012
- 699
- 133
kumpa lipumba nafasi ili bajeti yake itumike ni suala zuri sana..ila kwa kuwa WAKUBWA hawataki waonekane wao ni WADHAIFU watampotezea kama hawamjui vile...kimsingi mfumo wote wa utawala ni mbovu tena mbovu sana tu..
Ni bora wailete tuione sote ni wa tanzania ni wamoja tuna mkubali Lipumba. Na mchango wake tuna ukubali pia CUF tunaikubali ni chama makini. Tuacheni mzaaha kwani wabunge wote wa CUF hawaungi bajeti iliyo wasilishwa na mgimwa.
Huku bajeti kivuli imethibitika wazi kuwa ina mapungufu makubwa licha ya Zitto kuomba radhi kwakutoa uwazi wa mapungufu ya bajeti aliyoiwasilisha