ChamaDola
JF-Expert Member
- Dec 23, 2016
- 3,431
- 2,804
Kulingana na Taarifa ya Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, utafika Maswa na Bariadi!
Ni jambo jema, kwani kuna watu walisema unatenga baadhi ya mikoa! Asante,kwa kuizika hii propaganda!
Pamoja na hayo, hebu fika na Meatu! Kuna majipu mengi! Tuna halmashauri mbili, Halmashauri ya Mji Mdogo Meatu ambayo haina meno na Halmashauri ya Wilaya Meatu!
Kuna majipu idara karibu zote katika Halmashauri ya Wilaya! Uzembe wa Ujenzi wa Daraja la Sibiti na Ubovu wa Machinjio ya Wilaya na Migogoro ya Ardhi!
Karibu!