Mhe. Rais unapoteza muda wako

Mhe. Rais unapoteza muda wako

Ataesoma anisaidie summary please huyu nguli wa fasihi ameniongezea njaa tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Watz si wasomaji mada kama hizi ukitaka kuwapata watu unaziweka kwenye audio simulizi.Nilichoambulia by summary pasipo elimu vyote vitakufa baada ya 20yrs akitoka madarakani hivo anapoteza mda wake katoa ushauri maendeleo ya vitu yaendane na maendeleo ya watu pia watu wakiendelea wataviendeleza vitu
 
Naomba kushauri kuwa fupisha hilo andiko lako kwani ni refu sana pamoja na kwamba lina maudhui mazuri na ya msingi

Mwenzetu

Sent using Jamii Forums mobile app

Shukrani Mkuu, nimeandika kukidhi mahitaji ya watu wote. Wanaopenda makala fupi na ndefu. Wale wa makala fupi wataishia njiani, na wale wa makala ndefu watasoma mpaka mwisho.

Ningeandika fupi wangetokea wale wapenzi wa ndefu, nao wangesema mbona umeandika fupi?

Kwa makala kali zaidi nisome hapa Robert Heriel Tz
 
Sikusoma hadi mwisho je somo la inafiki umekumbuka kuliweka maana ndiyo linasababisha haya yote ' tumefikia kufurahia kusifiwa na kujitoa ufahamu 'what you have written suit to your age'

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeandika uliojaaliwa kheri kwako.Ila kuna mengi yaakupasa ujifunze kwa sababu wapo waliowahi kufikiri na kuandika kabra mfano shabani Robert ameandika mengi ambayo yangetekelezwa tungeweza kuwa mbali hujayajumuisha,Profesa Shayo amewahi andika kuhusu kuanzishwa kwa kijiji cha sayansi na teknolojia.
Elimu ni fumbo ambalo waafrika tumeshindwa kulifumbua hivyo linahitaji mjadala na sio mtazamo wa mtu mmoja au kikundi cha waunda mtaala/ Sera ambao wengi wao wamechoka kifikra.
Elimu inataka demokrasia na sio jambo la kuwekwa mikononi nwa watu wachache hivyo jamii inatakiwa ishiriki kujiundia mfumo wa elimu kulingana na mahitaji ya sasa na baadae.
Afrika tunakosa kitu kujitambua na kujiamini.tumerithi mifumo,mmojawapo ni wa chama, ukijiunga kazi yako ni kuutetea, hali hii imedumaza fikra pingamizi.Kwa hio hakuna nawazo mbadala yanayokubarika na kufanyiwa kazi bali ya kikundi.
Waafrika tumetafsiri vibaya dhana ya serikali,mtu akiwa kiongozi anajipa mamlaka ya kufikiri kwa niaba ya wengi na kujiona anaakili kuliko anaowaongoza, hii ilianza zamani.
 
Wengi wakipata nyazifa hujitoa ufahamu eti wanakuwa 'genius'.Sera zinatengenezwa nyuma ya mikamera sheria wanatumia zakwao ,yani! keki ya Taifa nikwaajili ya kundi Fulani tu! uzuri wake muda unakimbia sana 'let us cross our fingers and play before God to rescue us from calamities'

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom