Mkuu mimi ni CCM damu Nakusii ondoa hali inayojitokeza kuwa nchi yetu ina double standards kwenye utumishi wa umma.
Naamini wengi uliowaondoa madarakani hukuwa na ushahidi wa makosa yao moja kwa moja. Ni dhahiri uchunguzi ulihitajika kuthibitisha.
Kwa heshima na taadhima mpumzishe Makonda kwenye uRC. Mengi yamesrmwa juu yke kubwa ni hili la kuvamia kituo cha TV hatuwezi kuunga mkono huu ni uhalifu.
Tunakupenda tunakuheshimu na tuko pamoja nawe kufanikisha malengo yako, ya Chama na Serikali.
Tuheshimu dhamana za uongozi wa nchi yetu.