Kwa taarifa yako Mhe. Rais BAADHI YA WASTAAFU hatujalipwa pensheni zetu zinazopitia LAPF kwa mwezi Februari,2016. Jambo hili limetupa usumbufu mkubwa sana hasa ukichukulia pensheni hii ndiyo tunayotegemea katika maisha yetu ya uzeeni.
Tunakuomba tulipwe stahili zetu kwa sababu kila tulipofuatilia tulielezwa kuwa HAZINA haijatoa fedha.
Tunakuomba tulipwe stahili zetu kwa sababu kila tulipofuatilia tulielezwa kuwa HAZINA haijatoa fedha.