MHE. RAIS AMEWEZA

Sahani20

JF-Expert Member
Feb 11, 2013
1,519
740
Rais wa jamhuri wa muungano wa Tanzania amezidi kuweka rekodi wa kuimarisha uchumi kwa njia ya kubana matumizi. mimi ninaishi karibia na ukumbi mkubwa na maarufu hapa Dodoma. Tangu hapa kazi tu kuanza kuchanja mbuga siku hizi kelele na shamrashamra za harusi zimepungua kwa asilimia 75. kwa wananchi wa middle class economy RATE ya kuoa kwa harusi imepungua kwa kiasi fulani ambayo imepelekea harusi za kiserikali kushamiri na zile za mkeka.
hyo imefanya wamiliki wa hizi sehemu kulalama na ajira za wengi zinapotea.
:mad::mad::mad::mad::mad::mad::mad::mad::mad::mad::mad:

My TAKE mheshimiwa achia kidgo na sisi tuweze kuoa maana huko ukweni tunaambiwa bila harusi tusithubutu na ule usemi wa chelewachelewa utakuta mwana si wako naamini itatufikia
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom