Mhe. Pinda aahirisha Bunge hadi Juni 12, 2012

montroll

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2011
Posts
319
Reaction score
126
Waziri Mkuu katoa hotuba ya kufunga bunge (Hotuba nzima ipo post ya pili chini).

Hakuna Waziri hata mmoja aliyejiuzulu wala kuwajibishwa kama wengi walivyotarajia.

Spika kahitimisha kwa kuwataka wabunge wasichukiane nje ya Bunge kwakuwa yaliyojadiliwa bungeni ni sehemu ya kazi.
 
Ndugu . Pinda anazungumza kufunga kikao cha bunge.

Hotuba yake hii:

 
yaani pinda ni janga la taifa.
 
Mh.pinda akihitimisha bunge sasa hivi bungeni
 

Attachments

  • P_Apr23_191925.jpg
    33.6 KB · Views: 259
  • P_Jun07_173049.jpg
    34.8 KB · Views: 183
hamna kitu, kalale tu..jamaa anapoteza muda kwa kutaja wajumbe wa tume ya katiba, kutoa pongezi kwa simba na kupongeza pumba nyingine zisizohusiana na kikao hiki cha bunge. wizi wa muda tu.
 
Ndugu . Pinda anazungumza kufunga kikao cha bunge.
Hakuna jipya, anapiga blah blah za kila cku.. Haonyeshi dalili za kujiuzuru wala tamko lolote special! Ni bussiness as usual.. Duh Tz noma sana, sijaona watu wana roho ngumu kama magamba.
 
Jamani unajua Hawa jamaa wanajua Watanzania ni kwa kiasi gani ni wapole mpaka hawawezi kudai haki zao hata wakiwa wanadanganywa.Naamini kwa hili PINDA anatakiwa yeye ang'oke maana HANA UCHUNGU NA UMASIKINI WA WATANZANIA HATA KIDOGO. JAMANI TUSEME HAPANA TENA HAPANA KWA MAWAZIRI WALIOHUSISHWA NA UIZI WA FEDHA ZA WATANZANIA KUENDELEA KUHUJUMU NCHI YETU.
 
Hana lolote, kama unasoma elimu ya mawasiliano utaona bado anajiweka ndani ya serikali, hivyo bado yumo, hasira tupu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…