Mhe.Paul Makonda(DC) njoo Mwananyamala

CeH

Member
Jul 29, 2015
21
2
Ndugu Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni,Mhe.Paul Makonda na Mkuu wa Mkoa wa DSM siamini kama hamujawahi pita barabara ya Mwananyamala kutokea Victoria....Sehemu iliyoharibika kupindukia ni hapa sokoni.
Kwa faidi ya wagonjwa naomba barabara itengenezwe haraka xana hata kwa kuweka kifusi cha mawe matupu kuliko mapango yaliyopo hapa.

Tunataka kuona uwajibikaji katika miundo mbinu maana inagusa wananchi wote
 
Back
Top Bottom