Mhe,,mbowe... Bungeni live bila chenga ,,mjengoni dodoma;

Mhe,,mbowe... Bungeni live bila chenga ,,mjengoni dodoma;

Status
Not open for further replies.

sir.JAPHET

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2012
Posts
699
Reaction score
137
Mbunge kupitia tiketi ya chadema.. Mhe, mbowe,, wa hai,, ameibuka bungeni na kuipa makavu live,, bila chenga serikali ya ccm,, kwa maovu yake,,,na madhambi yake..
 
Nimempenda sana kwa kulifunda BUNGE na Viongozi wake. Nimependa pia alipokosoa kitendo cha dharau kilichoonyewshwa na Nchemba kwa kuchana na kuitupa bajeti ya kambi ya Upinzani. Anaongea kwa umakini na kutulia sana.
 
Amesema udhaifu wa serikali yetu,,, kukopa hovyo,, kujipendekeza,,, na amewakanya wabunge waheshimiane,, na wau heshim upinzani,, waeshim kazi zao,, na wawe na nidham,, na amesema majuto ni mjukuu,,,, kwa serikali ya ccm,,
 
Mbowe Jembe amaetulia sana anakata nyanga kwa utaratibu kamsumari kanaingia kama baridi ya mufindi inavyoingia kwenye mifupa!Chungu lakini Dawa!
 
mara ohhhhhh mbowe kakimbia bunge mara oohh kajificha...
poleni sana ccm...moto aliouanzisha MNYIKA HAUZIMIKI..ngoja mbowe awachane sijui nae mtamtoa bungeni??
 
hawakukosea kumchagua kuwa mwenyekiti wa CDM. ni mwenye hekima na busara, na tuwaache wenye kudharau kazi za wengine kama akina Nchemba wanaothani siasa ni kuongopa na kujisifia mwenyewe.
 
Mbowe kaonyesha busara za hari ya juu, nashangaa kaja ngeleja karudia yale yale, nahisi ningekuwa humo ndani uvumilivu ungenishinda.
 
Mtafaruku mkubwa wazuka Bungeni baada ya Lissu kutoa ufafanuzi kuwa ile si bajeti mbadala, bali ni mapendekezo katika bajeti ya serikali. Na Wabunge wa CCM wanapotosha wananchi na kuwaambia wapinzani ndiyo wanapotosha. Kipengele cha kutoonyesha mapato kimeleta mtafaruku sana. Halima Mdee amemponda waziri Ngeleja kwa kutochaguliwa tena baraza la mawaziri na kuongeza mtafaruku mpaka Spika akamuamrisha afute hiyo kauli kabla ya kutoa taarifa ya ufafanuzi wa marekebisho ya kipengele cha mapato ambacho kilishatolewa ufafanuzi. Mdee ameonya ya kuwa, kama mtu huna update ya jambo husika, basi usitumie ukumbi wa Bunge kujitafutia umaarufu.
 
Wakimbize kamanda wachape mawe hao vilaza kazi yao ni ndiyooooo na na kusinzia bungeni sijui wanaokaa nao karibu hawapati kale kaharufu kachafu chafu kanakotokana na muscle release.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom