Sisi wafanyabiashara huku Mikoani tunanyanyasika sana na kodi na mwisho wa siku hakuna tunachoambulia na tunazidi kupiga Marktime. Mifano ya kodi ni kama ifuatavyo:- (1) Kodi ya Mapato wastani wa Tshs.1,200,000, Leseni ya biashara wastani wa Tshs.150,000, Leseni ya Vileo wastani wa Tshs 100,000, Leseni ya Fire wastani wa Tshs. 1,000,000, Malipo ya maji wastani wa Tshs.1,500,000, Leseni ya Bango wastani wa Tshs.500,000, Gharama ya taka wastani wa Tshs.300,000, Gharama ya Hotel levy wastani wa Tshs.1,000,000.JUMLA KUU NI TSHS. 5,750,000 na mengine nimeshau. Gharama hii ni kubwa sana kwa mfanyabiashara wa kawaida hasa hizi kodi za Halmashauri ni kero
Tunakuomba katika bajeti ya 2016/17 kodi za kero za Halmashauri na Fire ziondolewe kabisa. Mfano mtu wa fire anakutoza shillingi millioni moja na hata kifaa cha kuzimia moto hakupi ukimuuliza anakueleza kuwa soma sheria. KWELI TUNAONEWA SANA HATUNA PA KUSEMEA