Mhe Lowassa azungumza na waandishi, asema yupo 'fit'

kumbe huyu fisadi namba moja ana mashushushu huku jamvini kazi kweli kweli

Mashushushu? hapana ye mwenyewe ni member JF nadhani huwa anafuatilia kila thread,,nakumbuka kuna wakati aliwahi tupia humu akiuliza kwanini wanaJF wanamchukia,,kuna thread kama hii labda wenye kumbukumbu nzuri waibue ile thread tafadhali
 
Topic Information



There are currently 176 users browsing this thread. (36 members and 140 guests

tuache ubishi tuache utani tuseme kweli,jamani LOWASSA ANAPENDWA SANA ANaEBISHA AJINYONGE

Ujinyongwe kwa ajili ya Lowasa?
Kama kujinyonga mbona kuna mengi sana yamefanyika hapa nchini na kama ingekuwa kujinyonga, wote tusingekuwepo.
Ni upepo tu utapita.
 
Kupinga uwezo wa kiuongozi wa mteule huyu ni sawa na kujaribu kukinga risasi kwa ungo. Semeni mpaka makoo yenu yazeeke lakini mtake msitake. Jembe EL Ndiye Rais ajaye!

Chonde chonde asije akajiuzia magogoni kama alivyofanya ardhi iliyojengwa Nashera.
Ukizingatia kwamba magogoni ni beach na panalipa sana kwa Hotel
 
Topic Information



There are currently 176 users browsing this thread. (36 members and 140 guests

tuache ubishi tuache utani tuseme kweli,jamani LOWASSA ANAPENDWA SANA ANaEBISHA AJINYONGE

Anapendwa kuliko MALIMA?

Hii habari imekamata watu aisee.....

There are currently 299 users browsing this thread. (82 members and 217 guests)
 
Chonde chonde asije akajiuzia magogoni kama alivyofanya ardhi iliyojengwa Nashera.
Ukizingatia kwamba magogoni ni beach na panalipa sana kwa Hotel

Au asije nunua nyumba Dubai na kukarabati kumbi za starehe kwa pesa ya chama. Asije lipa mshahara wa walinzi wa kanisa analosali mkewe kwa pesa ya chama.
 
Mkuu ahsante nitaangalia kwa makini. Pia nitauliza wapambe wake wa karibu ili nijue kama kweli amedhoofika zaidi na mkono wake ina shida.
 
Lowassa hata kama ametangaza mzima...lakini inawezekana ugonjwa wake umemwathiri sababu nimemwangalia tbc jamaa anatembea kama amekakamaa upande mmoja..na ule mkona wake wa kulia unathibisha hilo analazimiki kutembea kama askari kwenye gwaride ili kubalansi mwili.!
 
Humu ndani mlitusumbua sana
tukafunga safari tukijua amepata stroke.tukaenda hadi kwake

Kwake wapi ulaya alikokwenda kutibiwa?......na kama ni hapa Dar au Munduli huoni kuwa atakuwa amerudi amepona wewe utajuaje? kuwa alikuwa haumwi?.....au wewe ni mtu wake wa karibu? na ulienda kujikomba na kupeleka umbeya.....
 
Kumbe ndio maana CDM hawawezi kuongea chochote against Lowasa!
Ndani ya CDM Lowasa anakubalika kuliko hata Slaa!

Huo ndio ukweli, urafiki wa mbowe na Lowassa uko wazi sana, undugu wa slaa na lowassa nani wa kuuzuia??
 
Angefafanua yupo tayari kwa kazi gani kwani kwa Kikao cho chote cha Bunge sasa.

Karibu tena EL kapumzike Monduli.

Yani bora hata kama angesema yuko tayari kwa kazi, yeye alisema yuko tayari kwa mapambano... ndo atuambie sasa ni mapambano gani hayo.

Pia sikupenda namna alivyokuwa aki-deliver message yake, kama mipasho mipasho vile!
 
Wewe siyo MUNGU wewe unaona mapungufu ya mwenzako, Na kumuombea afe cha ajabu utakufa utamuacha akidunda,Mungu hafikirii kama mwanadam
 
c vizur kumuongelea lowasa kwa mabaya tu i believe another side of the coin he is a strong leader na anastahili kuwa our next president hakuna aliye msafi na kila mmoja ataiba akipata chance
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…