Mhe Lowassa azungumza na waandishi, asema yupo 'fit'

Mwisho wa mafis ...adi umekaribia,wataisoma namba muda si mrefu unafikiri mungu anapenda?We subiri tu!
 
Huyu ni rais wetu mtarajiwa 2015. Lazima apambane na wanafiki na vizabinazabina kama akina Nape, JK, Kinana, etc.

rais wako mwenyewe na sio watz,hilo gamba likutawale??Apambane na nani huyo kivipi na kwa lipi?Watu wengine bana.Kama huna idea ya kupost si lazima kupost!!.
 
Amekuja kusafisha jina la hoter yake nashera. Sio ? hafai kuwa rais huyo ni fisadi kila akihema
 
Karibu laigwan nyumbani.
Mkuu nimemuona akiongea TBC1, jamaa yuko fiti nadhani kuliko wakati wowote ule tangia aingie kwenye siasa. Sikuona uso wa kuchoka wala kukata tamaa bali uso, taswira na sauti vinaonyesha matumaini makuu mbeleni. Asije akawa ndiye mpakwa mafuta.
 
Dah!mi nilidhani utarudi mwili kwenye jeneza bwana,karudi kuja kumalizia ile kazi ya kukwiba aliyoianza?
 
Lowassa amekanusha habari zote za uongo, asema yuko fiti na anaendelea vizuri, aeleza alifanyiwa operation miaka iliyopita akashauriwa awe anafanya check up kila mara vile vile amefanya check up zingine zote pamoja na moyo na yuko mzima. Anawashukuru wote waliotuma message na kumuweka kwenye maombi, anashukuru maaskofu na mashehe walimuweka kwenye maombi, asisitizia yuko tayari kwa kazi zote na anaendelea vizuri.

Amekanusha kuongelea hali ya siasa arusha.

Mungu akubariki lowassa..

Haya waongo kanusheni sasa
Nassari kwisha kazi
 
Anakimbia kimvuli chake, infact kama ulimuangalia fresh Huyu Fisadi amedhoofika kwa kiasi kikubwa,hata ukiangalia jicho lake la kushoto na uso wake kwa ujumla kwa upande wa kushoto umeshuka kimtindo......
stroke ni hatar sana especially ikikupiga on your left hand side,naaamin hiki ndo kilimkimbizia German
 
Amekuja kusafisha jina la hoter yake nashera. Sio ? hafai kuwa rais huyo ni fisadi kila akihema
 
Mkuu nimemuona akiongea TBC1, jamaa yuko fiti nadhani kuliko wakati wowote ule tangia aingie kwenye siasa. Sikuona uso wa kuchoka wala kukata tamaa bali uso, taswira na sauti vinaonyesha matumaini makuu mbeleni. Asije akawa ndiye mpakwa mafuta.

mkuu Kimbunga,

kwanza muangalie sana akiwa anatembea ule mkono wake wa kushoto...hata kwenye baada ya kuongea na wanahabari TBC ameonekana...mchunguze sana anavyotembea, namna mkono wa kushoto unavyo behave akiwa kwenye mwendo, halafu uje na maoni tena, sidhani kama yatakuwa kama hayo hapo uliyoyatoa sasa hivi. Sidhani kama anahitaji kueleza hali yake ikoje maadam wapo wanaoweza kumwona vizuri...

Hawa TBC nadhani watarudia tena ile taarifa, stay tuned.
 
Anakimbia kimvuli chake, infact kama ulimuangalia fresh Huyu Fisadi amedhoofika kwa kiasi kikubwa,hata ukiangalia jicho lake la kushoto na uso wake kwa ujumla kwa upande wa kushoto umeshuka kimtindo......
stroke ni hatar sana especially ikikupiga on your left hand side,naaamin hiki ndo kilimkimbizia German

uko sahihi mkuu,

upande wake wa kushoto ni mzito, na mkono wa kushoto hauna uwezo wa kujisukuma, inaonyesha una walakini...nashangaa watu wengine wanasikiliza wanachoambiwa badala ya wao pia kutumia macho yao...
 
mkuu Kimbunga,

kwanza muangalie sana akiwa anatembea ule mkono wake wa kushoto...hata kwenye baada ya kuongea na wanahabari TBC ameonekana...mchunguze sana anavyotembea, namna mkono wa kushoto unavyo behave akiwa kwenye mwendo, halafu uje na maoni tena, sidhani kama yatakuwa kama hayo hapo uliyoyatoa sasa hivi. Sidhani kama anahitaji kueleza hali yake ikoje maadam wapo wanaoweza kumwona vizuri...

Hawa TBC nadhani watarudia tena ile taarifa, stay tuned.

Kupinga uwezo wa kiuongozi wa mteule huyu ni sawa na kujaribu kukinga risasi kwa ungo. Semeni mpaka makoo yenu yazeeke lakini mtake msitake. Jembe EL Ndiye Rais ajaye!
 
Check up za mwezi mzima na kulazwa ndani yake??? Duh, nani anlipia hizo??? Ni hakahaka kamfuko ka serikali kalikochacha au anatumia zile alizozivuna baada ya kulitumikia taifa kwa miaka zaidi ya 30??

Dowans tamu wewe kila kitu kimo humo
 
Kupinga uwezo wa kiuongozi wa mteule huyu ni sawa na kujaribu kukinga risasi kwa ungo. Semeni mpaka makoo yenu yazeeke lakini mtake msitake. Jembe EL Ndiye Rais ajaye!

sijapinga taarifa yake kwamba haumwi, na wala sihitaji kumsikiliza huyo anayekulisha kujua kama anaumwa au la...ndiyo maana nimesema tumia macho yako pia kugundua upande wake wa kushoto ulivyozorota. lazima akwambie kila kitu?
 
[h=4]Topic Information[/h]

There are currently 176 users browsing this thread. (36 members and 140 guests

tuache ubishi tuache utani tuseme kweli,jamani LOWASSA ANAPENDWA SANA ANaEBISHA AJINYONGE
 
huyu jamaa anapasua vichwa vya watanzania kila kukicha,mungu aendelee kumlinda na ufisadi wake aje atutawale
 
Back
Top Bottom