Mhe. Lowasa Ana Safari ya Kwenda Wapi?

Status
Not open for further replies.

Masulupwete

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2012
Posts
2,366
Reaction score
2,438
Wakuu nafatilia habari Channel 10 kuna habari ya mhe. lowasa yupo kanisani huko monduli nimemsikia akiomba watz wamwombee ktk safari yake ngumu kwenye milimani, mabonde na miiba. ila mhe. hajafafanua anaelekea wapi. Kuna mtu anayeweza kunitoa tongotongo mhe.ana safari ya kuelekea wapi?
 
safari ya kuelekea ikulu 2015. au mpaka atamke kwamba hatagombea ubunge 2015 ndiyo uelewe maana ya safari yake?
 
Nchi hii inavioja yaani hawa watu hawaoni shida zetu leo umeme umepanda wao wanawaza uraisi tuuu!
 

Anazo ndoto nasasa anaota safari ,,nakwenda kuzimu nayo nisafari
 
safari ya kuelekea ikulu 2015. au mpaka atamke kwamba hatagombea ubunge 2015 ndiyo uelewe maana ya safari yake?


nimeshangazwa kwa sababu si kawaida mtu kutangaza safari mbele ya kadamnasi
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…