Mhe. Kangi Lugola tunaomba uwamulike matrafiki wa Vituo vya Tengeru na Usa River Mkoani Arusha

Entim

JF-Expert Member
Jun 7, 2013
4,021
2,253
Mhe. Waziri wa Mambo ya Ndani, tunaomba sana uunde timu maalum ya kuwachunguza matrafiki wa vituo vya Tengeru na Usa River, mkoani Arusha. Wamezidi kuonea madereva na kuwabambikiza makosa yasiokuwa ya maana, ukikataa kutoa rushwa wanakuzungusha hovyo, na kukutisha kuwa wana uwezo wa kukagua gari na kukupata na makosa zaidi ya 40. Wiki hii nimeyashuhudia matukio ya kupokea rushwa na majina na namba za hao matrafiki ninayo.
Kesho nitatuma MAJINA NA NAMBA ZAO kwa DHL kwenda kwa Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, Mkurugenzi Mkuu wa TISS, na IGP.
Hawa matrafiki wataifanya wananchi wsichukie serikali yao.
 
Chomoa betri mkuu,tumeshaichukia serekali kwasababu yao
 
Mkuu siyo wa pande hizo tu. Trafiki polisi ni janga la kitaifa katika nchi hii. Mkuu wao alishaambiwa ajitathmini. Bado kakomaa kwa maono yake utendaji wao ni mzuri sana. Ati kuwa ajali zimepungua kana kwamba zimepungua kwa ajili ya uwepo wake.

Kamanda Mpinga alithamini sana haki za watumia barabara dhidi ya hawa wala rushwa siyo huyu aliyepo.

Palitakiwa mamlaka nyingine ya kuwakamata hawa wala rushwa on the spot kama ilivyo kwa EACC Kenya.

Huku kwetu TAKUKURU ingebadilishwa hata kuwa saccos ya kupambana na umaskini nia njema ya kupambana na rushwa hawana wapo wapo tu?
 
Back
Top Bottom