Eng kihonza
Member
- Mar 3, 2016
- 41
- 13
Mhe. JPM, UNAZIJUA CHANGAMOTO ZA KILIMO TANZANIA...?
Mhe. Rais, Vijana si kwamba hatutaki kulima, Noo...!!! ni mazingira ya nchi yako ndiyo yanatufanya tushinde kwny POOL TABLE
-Mhe. Ili uweze kulima, unahitaji mambo makuu 4,
1) Ardhi(Mashamba)
2) Vitendea kazi(Mbolea, jembe la mkono, jembe la ng'ombe au trekta n.k)
3) Mda
4) Soko la kuuzia mazao
Siwezi kukupa changamoto zote, ila naomba nitoe mfano tu wa kijana SELFMAN JOSEPH(27), Mhitimu wa shahada ya Sheria-UDOM-2014 ambaye ni mkazi wa Runzewe-Bukombe, kijana anaishi na mama ya tu baba yake alifariki wakati SELEMAN yupo mwaka wa (I) na hapo mama akalazimika kuuza mashamba yote ili SELEMAN asome, ambapo leo hii wanaishi kwny nyumba za kupanga, baada ya kuhitimu kijana hakufanikiwa kupata AJIRA kutokana na mazingira ya nchi. 2015 Mwezi-11, kijana alienda KAHAMA alikoolewa dada yake ili akakopeshwe pesa awekeze kwny KILIMO, SELEMAN alipewa mil 1.5 kwa mkataba wa miezi 8, kuanzia Nov-May baada ya mavuno arejeshe 2 Mil
Kijana akawekeza kwny kilimo cha mpunga kwa mchanganua ufuatao:-
Mhe. Rais, Seleman alikodi 3 ekari za mbuga kwa 50000 per ekari×3=150000
Kijana akanunua mbegu kwa 60000 na kusiha mwezi huo wa Novemba
Akasafisha majaruba kwa nguvu zake, then akaweka wakulima kwa 40000 per ekari×3=120000
Baadae akaweka wakulima wa kurudia ili apande mpunga, ilimgharimu 30000 per ekari×3=90000
Kijana akang'oa mbegu kwa nguvu zake, za kutosha kupandia 3 ekari, 1 ekari alipanda mwenyewe, 2 ekari aliweka vibarua kwa 50000 per ekari ×2=100000
Hata parizi pia, 1 ekari alipalilia mwenyewe, 2 ekari aliweka vibarua kwa 40000 per ekari×2=80000
Kipindi cha mavuno, 1 ekari alivuna mwenyewe, 2 ekari vibarua kwa 100000 per ekari × 2=200000
Mhe. Rais, kumbuka kuwa ktk kipindi chote cha miezi 8, Seleman hakuwa nyumban kwao Runzewe, alikuwa kambini-Kahama kijijin, kwa maana hiyo, kijana alilazimika kuomba cha kulala kwa mwanakijiji kwa masharti ya ku-share chakula, kwahiyo alinunua gunia 3 kwa 60000 ×3=180000 & 1 gunia la mpunga wa kula=80000
Mhe. JPM, Seleman alifanikiwa kuvuna gunia 35 mwez wa 5, alivuna gunia chache kwa kuwa hakuwa kwny ardhi yenye rutuba na hakufanikiwa kupata mbolea, vilevile mvua hazikuwa za kutosheleza
Wakati wa mavuno(mwezi wa 5), kijinini walikuwa wananunua gunia kwa 30000, mjini 40000
Seleman alalazikama kufuata bei ya mjini, 40000 ili apate pesa nyingi tofauti na kijijin, alinunua mifuko 35 kwa 700×35=24500
Then, akakodi gari kwa ajili kupeleka mjin, alitozwa 4000 per gunia× 35=140000, wapakiaji ni 500 per gunia×35= 17500
Wakati wakiwa njiani, waliombwa ushuru wa mazao, 1000 per gunia × 35=35000
Mhe Rais, kumbuka Seleman alikuwa na mkataba wa miezi 8 tu ili arudishe pesa kwa dada yake na tayari mda ulikuwa umeshafika, hivyo haikwezekana kuweka stoo kusubiri bei ipande, ilimlazimu aueze & apeleke 2 mil kwa dada yake, na dada yake kaolewa asipopeleka anakuwa amehatarisha ndoa ya dada yake
Seleman aliuza 35 kwa 40000 per gunia×35= 1400000 & hii ndiyo pesa aliyopa kwa miezi 8 akiwa kijijini kwny KILIMO
EBU TUJIKUMBUSHE GHARAMA ALIZOTUMIA
-Kukodi 3 eka=150000
-Kulima 3 eka= 120000
-Kurudia 3eka=90000
-Mbegu 4 debe=60000
-Kupanda 2 eka=100000
-Parizi 2 eka=80000
-kuvuna 2 eka= 200000
-Chakula 180000+80000=260000
-Mifuko 35 = 24500
-Usafiri 35=140000
-wapakiaji 35=17500
-Ushuru 35= 35000
JUMLA ni 1277000
Mhe. Rais, Kumbuka kijana alikopa 1.5 mil na ametumia 1277000 tu, najua kwakuwa una FALSAFA ya kubana MATUMIZI, Utaniuliza kuwa 223000 iliyobaki alipeleka...??? Jibu ni rahisi sana, Mhe. Rais kumbuka huyu ana degree, kwahiyo ana matumizi ya lazima(Mswaki, dawa ya meno, vocha, kuchaji simu, kunyoa, sabuni n.k) kwahiyo hata ile 223000 iliisha pindi yupo kijijini
HITIMISHO:
Mhe. Rais, Seleman amepata 1.4 mil kwa miezi 8 wakati alikopa 1.5 mil kurudisha 2 mil...!!!!
"Vijana waache kucheza pool wakalime"(JPM), Umewaandalia mazingira rafiki kwa KILIMO...???
Seleman hakuwa na tatizo, ila tatizo lilikuwa kwny SOKO la MCHELE, kama gunia lingekuwa linanunuliwa 100000, Sele angepata 3.5 mil
-Wakati serikali mnatoa BEI ELEKEZI YA SUKARI, kwanini hamtoi bei elekezi ya MTAMA, ALIZETI, MCHELE n.k
Je, SELEMAN atarudi tena kwny KILIMO...?
Mhe. Rais, ni rahisi kutamka neno & kutoa MAAGIZO ukiwa kwny DHURIA JEKUNDU...!!!!
Pole sana SELEMAN, karibu mjini tujiandae kwa "MASHINDANO YA POOL TABLE KITAIFA"
Ahsantee...!!!!
By
Allan Stanford (mtaalam wa kilimo )