Mhe. January Makamba akunwa na hotuba ya JK

Chohote kitakachofanywa, vyovyote itavyofanywa, lazima kuna watu watasema hili lingukuwa bora kuliko lile?

What is so "Independent" is very relative

So go ahead mr President,

Watakao taka kushiriki washiriki watakaogoma taifa linasonga mbele.

Yah, hajakatazwa..hata akitaka aunde katiba yake yeye na familia yake na wewe pia unaeza ukaunga tela, lakini hiyo si ya Tz. Nukta.
 
Nionavyo mimi bana ni heri ya mtu anayetafuta umaarufu kwa hoja kuliko mtu anayejikomba ili apande kwene piramidi za uongozi.

Huyu January toka amekosa uwaziri nadhani amechanganyikiwa; anatafuta kila njia na yeye asikike kuwa yupo ingawa hana la maana la kuchangia kulisaidia Taifa hili. Kijana amefulia na sasa imebaki kwa yeye na mzee Yusuf kujikomba kwa Jakaya ili amfikirie fikirie huko mbele!!
 
Huyu January toka amekosa uwaziri nadhani amechanganyikiwa; anatafuta kila njia na yeye asikike kuwa yupo ingawa hana la maana la kuchangia kulisaidia Taifa hili. Kijana amefulia na sasa imebaki kwa yeye na mzee Yusuf kujikomba kwa Jakaya ili amfikirie fikirie huko mbele!!

Tayb..tayb.
 
Kwa Januari kukunwa na hotuba ya jk inatusaidia nini sasa. Watu wengine bwana!! Acha kupoteza muda wako kuandika jambo lisilo na mvuto kwa jamii. Kuna tofauti gani kati ya januari na jk!!??

Bwana hatutaki ujinga, January si ni mtoto wa Makamba? huyu anajikomba tu anataka kijikazi. Kikwete akimpa kazi yoyote basi naye ni mpumbavu kama January. Huyu kaanza kuropoka mapema zaidi ya baba yake. Mwisho wake utakuwa mbaya, afikirie namna ya kusaidia jimbo lake kwanza.. nyambaff
 
MBUNGE wa Bumbuli, January Makamba,
"Rais wetu amechukua uongozi kwenye jambo hili, mimi na watu wa Bumbuli tuna imani litafika pazuri na sisi (wabunge) bungeni tutaletewa katika wakati mwafaka kiutaratibu," alisema January.

maharage ya bumbuli......

mods ... please update time za kwenye forum website... hiyo GMT iendane na Tz time zone please..... inanichanganya kila mara kama January Makamba
 
Who is January Makamba by the way. Apart from being an UNELECTED MP he is mere person. ni wengi tu waliokunwa na kauli ya JK juu ya katiba mpya lakini wamekaa kimya. Hana lolote mnafiki ANAJIPENDEKEZA tu huyo ili baadae afikiriwe.
 
tunataka baraza la katiba sio tume FULLSTOP!

the fught has started! beware CCM are so clever in this!

alaaaa kumbe January anakunwa? kumbe mtoto?
 
Itakuwa aliwaita na walipo ondoka akawapa BAHASHA za kaki!

Ila nina uhakika vipress conference fake kama hivyo Saeed Kubenea hawezi kuhudhulia, na hivyo vibahasha vyake wapo wachumia tumbo tunaowafahamu kwa majina ndio huwa wanapokea, waandishi wote makini huwa hawakubali kuuza utu wao kwa hivyo vibahasha vya kaki.
 
Ila nina uhakika vipress conference fake kama hivyo Saeed Kubenea hawezi kuhudhulia, na hivyo vibahasha vyake wapo wachumia tumbo tunaowafahamu kwa majina ndio huwa wanapokea, waandishi wote makini huwa hawakubali kuuza utu wao kwa hivyo vibahasha vya kaki.

January kwani nani alimchagua kama siyo Baba yake Makamba? Aondoe utumbo wake hapa, akili hana anataka kuanza na kuropoka kama baba yake. Watu wengine bwana.... January kwanza Bumbuli hakukuwa na uchaguzi baada ya hela mlizopata kutoka kwa wahindi kuwalipa wapinzani na hata wagombea ndani ya CCM kujiondoa hasa yule kijana ambaye angekupa upinzani wa kutosha. JK hataki kusikia jina la Makamba's sasa hivi kwa hiyo kaa mbali wewe. Eti amekunwa, amekunwa makalio, lione...... Mwamvita sasa atakunwa nini?
 
Who is January Makamba by the way. Apart from being an UNELECTED MP he is mere person. ni wengi tu waliokunwa na kauli ya JK juu ya katiba mpya lakini wamekaa kimya. Hana lolote mnafiki ANAJIPENDEKEZA tu huyo ili baadae afikiriwe.
mnyonge mnyongeni na haki yake mpeni... the boy is a tanzanian so degrading him to inhuman level may not be the best idea mkuu samir narsi

Muache tu atafit to his place kama udongo unavyo-sag ukichimbwa
 
Hivi waliomaliza galanosi secondary mwaka 1993 wanamkumbuka huyu January Makamba? Hebu tuambieni mnayokumbuka!

Mimi nipo Galanos lakini ndo kwanza nasikia kutoka kwako kwamba huyo jamaa alipitia huku. Sisi wengi wetu tunafahamu Zitto kabwe ndo alipitia huku na story zake zinaongelewaga sometimes ila sasa amepoteza mvuto.
 
Lengo ni kuomba nafasi ya kuwa katika tume ili naye atafune fungu litakalotoka
 
Cynicism ya humu ndani bana. Kwani si we wait and see who is in this tume before we become skeptical? What if Mheshimiwa Slaa will be given a substantial role in it? Subra wandugu. We wait and see the whole mchakato and provide commentaries and criticism along the way.
Hapana Selemani, kama Marando alivyoikataa tume ya Mwinyi, nina hakika na Dr. Slaa ninayemfahamu hawezi kuwasaliti Watanzania kwa kukubali kuwemo katika hii tume ya Kikwete ya Kuchakachua Katiba.

Regardless, in the continent full of Gbagbos and Musevenis, it is a commendable act for CCM government to even making a tume.
Labda unaishi sayari nyingine lakini toka lini CCM ikatanguliza maslahi ya taifa katika mipango yoyote ile - kumbuka kuwa Wabunge wa CCM waliwahi kuagizwa kutanguliza maslahi ya Chama na alitokea Mbunge mmoja tu aliyekuwa na ujasiri wa kukohoa, Mpendazoe, remember ? Hakuweza tena kuendelea kubaki humo, alitafuta hewa safi nje !
Besides katiba's role towards development is still vague. We all know Bongo's ailment comes from our awful implementation record in basically any piece of policy that the top paid consultants are crafting for us. All cadres of public servants don't give a sh!t.
Hapana tena Selemani, tungekuwa na katiba ya wananchi, EPA haingetokea na Balali yawezekana angekuwa hai hadi leo. Kama si mapungufu ya katiba ya sasa wamiliki wa Kagoda na Dowans wangejulikana na hivi sasa wangekuwa wanatembelewa na ndugu zao gerezani. Kama siyo hii katiba ya sasa watu kama Kikwete hawangepata nafasi ya kuiongoza Tanzania na leo hii taifa lingekuwa limepiga hatua ya nguvu kimaendeleo. Katiba mbovu imeweza kuwazaa malimbukeni wa siasa, imeweza kuwalea wezi na wahujumu wa taifa, imeweza kuruhusu utawala usiojali sheria na kuzingatia haki na imeweza kuibakiza Chama cha Mafisadi madarakani licha ya kupoteza uchaguzi. Hapana Selemani, rudi huko huko kwenye pango la wanyang'anyi - katiba mpya haikwepeki, sauti ya UMMA ni sauti ya Mungu.
 
I think what January did was to express his views on the President's speech and I see nothing wrong. he is entitled to his opinion and any one of us have divergent views that is also fine. I feel it is pre-mature to criticise the President. The review team is yet to be formed and none of us knows who he will pick and what their credentials are. We should stop an unnecessary speculation that may be a source of unwanted tension.
 
Back
Top Bottom