Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,903
Waziri mkuu mstaafu na mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA Mh. Edward lowasa akiwasalimia wanachama na wakazi wa kata ya Lembeni, jimbo la Mwanga katika mkoa wa kilimanjaro ambao wanajiandaa na uchaguzi mdogo katika kata hiyo ambapo Lembris Mchome ndiye aliyepitishwa kupeperusha bendera ya chama hicho katika uchaguzi huo.