Mhe. Abdulkarim Shah upo wapi??

Mhe. Abdulkarim Shah upo wapi??

Mhe. Abdulkarim Shah

Ulionyesha ujasiri na uzalendo pale mafuriko yalipo tokea Dar es Salaam. Lakini katika swala hili vipi? Tunaomba utupe update.

Daily News | 20 feared dead in dhow accident

Mkuu, yaani Bulji kujitokeza pale Jangwani na kale kamtumbwi ndo ishakuwa nongwa?! Kwahiyo ulitakaje?! ulitaka aende akapige mbizi baharini akawatafute hao ambao hawajaonekana?!
 
Kichwa kigumu kama lilivyo jina lako ni mgumu kuelewa inakuuma sana kuwaokoa waathirika wa mafuriko in short hyo boat si ya mafia ni uzushi bulj ameingia mafia Leo kufatilia suala hilo unafiki huo wewe ni mpambe wa mbaraka dau usilete ubaguzi wenu mafia cc hatuko hvo na ukome......
 
Back
Top Bottom