CAMARADERIE
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 4,419
- 1,929
Kwenye mji wangu asilimia kubwa ya mali nimenunua mimi......lakini KIDAWA wangu wa KIPAWA namsikia akisema kila kitu ni chake....nyumba yangu,gari yangu,hela zangu (tuna joint bank account),watoto wangu........ila kasoro mama yangu mzazi hasemi mama yangu :lol::lol::lol:
Oops.........thread mix-up
Mhaya mmoja aliingia baa na kukuta imejaa full isipokuwa kiti cha meza moja iliyokuwa na mteja mmoja. Jamaa akaikaribia na kumsalimia ''mywaji'' mwenzie na kumuomba kama anaweza kumjoin. Akakaribishwa na kuketi. Ikabidi watambulishane, mnyakyusa akasema '' naitwa Mwakimimba'' mhaya akasema '' mimi naitwa Mutafirwa''......ilibidi mabaunsa waingilie kati
sijaielewa mwishoni!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!1
Mghonile wanyakyusaa mlipo?