Mhasibu msaidizi

Mhasibu msaidizi

Joined
May 24, 2012
Posts
79
Reaction score
56
Anatafutwa mtu aliyesomea uhasibu ngazi ya shahada. Awe na ujuzi mzuri wa kutumia tarakilishi (computer) na kama amewahi kutumia ''Finance Solution'' software itakuwa vyema sana.

Kazi hii ni kwa ajili ya tawi jipya la wilaya ya Temeke. Hivyo wakazi wa Temeke wanapewa kipaumbele zaidi.

Omba kupitia chakarikamkopo@yahoo.com au boazackimu@yahoo.com kabla ya 5th August 2013. Tafadhali usitume scanned copies wala picha. Barua ya maombi na CV vinatosha.
 
Back
Top Bottom