Dindira
JF-Expert Member
- Nov 10, 2016
- 2,912
- 3,462
Nakumbuka enzi za kina papaa Musofe. Yuko kwenye muziki akipokea au akipiga simu muziki unasimamishwa. Sio yeye atoke nje NOOO. ameketi pale pale akimaliza kuongea muziki unaanza tena.Watu wenye pesa za wizi wana mbwembwe!!!!
Eti chips anamix na supu ya kongoro!!!!
Daaaa!!!
Kuna mwingine alikua anaiba kwenye kampuni alokua anafanya kazi. Akiingia bar ukitaka akununulie beer sharti umsalimie na akiingia lazima usimame mpaka akae.
Kuna yule Masamaki wa TRA alikua ananywesha bar nzima. Bili analipa kesho yake. Akishalewa anasema.SIONI MTU MBELE YANGU. AKITOKA MUNGU ANAEFUATA NI MIMI MASAMAKI