Mhasibu chuo cha Ustawi wa Jamii ahukumiwa miaka 5 jela kwa wizi wa zaidi ya TZS milioni 9

Watu wenye pesa za wizi wana mbwembwe!!!!
Eti chips anamix na supu ya kongoro!!!!
Daaaa!!!
Nakumbuka enzi za kina papaa Musofe. Yuko kwenye muziki akipokea au akipiga simu muziki unasimamishwa. Sio yeye atoke nje NOOO. ameketi pale pale akimaliza kuongea muziki unaanza tena.
Kuna mwingine alikua anaiba kwenye kampuni alokua anafanya kazi. Akiingia bar ukitaka akununulie beer sharti umsalimie na akiingia lazima usimame mpaka akae.
Kuna yule Masamaki wa TRA alikua ananywesha bar nzima. Bili analipa kesho yake. Akishalewa anasema.SIONI MTU MBELE YANGU. AKITOKA MUNGU ANAEFUATA NI MIMI MASAMAKI
 
Milioni 9..?? Huyo mhasibu ni bwege sana... yaan hata ethics zetu hajavunja... KWENYE UHASIBU UNAPASWA KUIBA PESA NDEFU AFU UKIFIKA MAHAKAMANI UNAKUBALI KUWA UMEIBA KAMA MIL 600 na uliiba kwa mkupuo mmoja... Hapo hakuna jaji wala hakimu wa kukufunga kwa maana anajua wazi mkwanja upooooo...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Grayson tulikuwa tunakutana pale Hongera Bar kwenye supu ya Kongoro. Inajulikana ulipiga zaidi ya hizo Mil 9. Ila ushahidi ulinasa katika hizo, na ndio maana mheshimiwa Hakimu amepiga nyundo ya Haki.
Pole sana. Kila la kheri katika maisha yako mapya gerezani. Hongera bar itakumiss na zile mbwembwe zako za kuchanganya supu ya kongoro na tuchips kwa mbali.
Na wewe ukamatwe kwa kushiriki kula mali ya wizi.
 
Mahakama zetu zinatatizo la IQ. Kama taifa tunasafari ndefu sana ,

Nijambo la kushangaza sana na kusikitisha, mwizi wa milioni tisa kufungwa miaka 5 wakati mwizi wa billion 1.2 kuombwa alipe milion 200 tu?

Ama mwizi wa billion kuhukumiwa kufanya usafi hospital.

Sijui wanatumia vifungu gani kuhumu..shame on you poor judges.
 
Back
Top Bottom