Kwani tatizo la kununua mitambo ya Dowans liko wapi? Tusiwe brainwashed na "happy go luck" people kama akina Mwakyembe na Sitta! Hivi unaweza kuamini kwmba mitambo ya Dowans ambayo ina miaka mitatu imechakaa kuliko mitambo ya IPTL? Au leo watanzania tumesahau machungu ambayo tunayapata kwa ajili ya mkataba mbovu wa IPTL? Eti wanasema hizi kampuni mbili haziwezi kulinganishwa! lame excuses, wanajaribu kuexpolit ujinga wa Watanzania ambao hupokea taarifa bila kuchekecha! Hatusemi kuwa Dowans ni clean company, but tujiulize Dowans imeingiaje katika sakata la ufisadi wa Tanzania. Kama si Dowans, umeme uliokuwa uzalishwe na Richmond usingekaa upatikane. Mhariri amejifuta matongotongo na kuamua kueleza what I think is the best opinion kulinganisha na blaablaa za watu kama Mwakyembe, Sitta na Shelukindo!

Heshima mbele.
Mzee ikiwa kuna ukweli kuwa Dowans imeweka hiyo mitambo kama dhamana kwa mikopo ilyo pata katika mabenki! Hiv kweli ni sawa kuinunua???
Hii kwangu sioni kama sawa hata kidogo na nashangaa sana watu ambao kila lina pofika suala hili kulifanya vita kati ya Dr na RA. Hebu lets imagine hawa hawapo ktk sakata hii tuiangalie mitambo pekeyeke labda kwa njia hii tuna weza pata suluhu ikiwa inafaa au laa. Hayo ni mawazo yangu hebu naomba na wengine tuliangalie kwa kona hiyo .
Jobo,i think 'YOU ARE THE BRAINWASHED TANZANIAN'...........and you really are!sorry
Kwa mtu anayefuatilia uandishi na maoni ya mhariri wa Tanzania Daima utagundua kubadirika kwa kiasi kikubwa. Kwa siku za karibuni amejitokeza kuwa mtetezi mkubwa wa Dowans na RA. Nahisi alichopewa Zitto Kabwe ndicho alichoonjeshwa muhariri huyu. Sasa nimeamini hakuna kinachoweza kuishinda nguvu ya pesa. Mungu ibariki Tanzania
Kwani tatizo la kununua mitambo ya Dowans liko wapi? Tusiwe brainwashed na "happy go luck" people kama akina Mwakyembe na Sitta! Hivi unaweza kuamini kwmba mitambo ya Dowans ambayo ina miaka mitatu imechakaa kuliko mitambo ya IPTL? Au leo watanzania tumesahau machungu ambayo tunayapata kwa ajili ya mkataba mbovu wa IPTL? Eti wanasema hizi kampuni mbili haziwezi kulinganishwa! lame excuses, wanajaribu kuexpolit ujinga wa Watanzania ambao hupokea taarifa bila kuchekecha! Hatusemi kuwa Dowans ni clean company, but tujiulize Dowans imeingiaje katika sakata la ufisadi wa Tanzania. Kama si Dowans, umeme uliokuwa uzalishwe na Richmond usingekaa upatikane. Mhariri amejifuta matongotongo na kuamua kueleza what I think is the best opinion kulinganisha na blaablaa za watu kama Mwakyembe, Sitta na Shelukindo!
Tusimhukumu mhariri kuwa kanunuliwa kwa sababu ya Dowans!Tanzania Daima ni miongoni mwa magazeti makini ambayo yamefanya kazi nzuri ku kuupasha umma habari sahihi katika mambo mbalimbali.Inawezekana ni maoni yake kama yalivyo maoni ya akina Zito,Mwakyembe n.k
Mungu ibariki Tanzania na watu wake. Maana siku hizi kila ukitofautiana na wale waliojibatiza majina kwamba wapinga ufisadi basi wewe aidha umenunulia au unakula na mafisadi. Kweli vita ya ufisadi ni kitovu cha uzembe wa kufikiri. Sasa sijui nani anafaidi huo uzembe wetu wa kufikiri mafisadi au wanajipachika upambanaji wa ufisadi? Ninavyoona wote wanaangalia 2010 wapite kimchekea (mafisadi wakitumia pesa kuhonga na wale waliojibatiza kwa kisingizio kuwa walipambana na ufisadi)
Kwani tatizo la kununua mitambo ya Dowans liko wapi? Tusiwe brainwashed na "happy go luck" people kama akina Mwakyembe na Sitta! Hivi unaweza kuamini kwmba mitambo ya Dowans ambayo ina miaka mitatu imechakaa kuliko mitambo ya IPTL? Au leo watanzania tumesahau machungu ambayo tunayapata kwa ajili ya mkataba mbovu wa IPTL? Eti wanasema hizi kampuni mbili haziwezi kulinganishwa! lame excuses, wanajaribu kuexpolit ujinga wa Watanzania ambao hupokea taarifa bila kuchekecha! Hatusemi kuwa Dowans ni clean company, but tujiulize Dowans imeingiaje katika sakata la ufisadi wa Tanzania. Kama si Dowans, umeme uliokuwa uzalishwe na Richmond usingekaa upatikane. Mhariri amejifuta matongotongo na kuamua kueleza what I think is the best opinion kulinganisha na blaablaa za watu kama Mwakyembe, Sitta na Shelukindo!
Kwa mtu anayefuatilia uandishi na maoni ya mhariri wa Tanzania Daima utagundua kubadirika kwa kiasi kikubwa. Kwa siku za karibuni amejitokeza kuwa mtetezi mkubwa wa Dowans na RA. Nahisi alichopewa Zitto Kabwe ndicho alichoonjeshwa muhariri huyu. Sasa nimeamini hakuna kinachoweza kuishinda nguvu ya pesa. Mungu ibariki Tanzania
Kwani tatizo la kununua mitambo ya Dowans liko wapi? Tusiwe brainwashed na "happy go luck" people kama akina Mwakyembe na Sitta! Hivi unaweza kuamini kwmba mitambo ya Dowans ambayo ina miaka mitatu imechakaa kuliko mitambo ya IPTL? Au leo watanzania tumesahau machungu ambayo tunayapata kwa ajili ya mkataba mbovu wa IPTL? Eti wanasema hizi kampuni mbili haziwezi kulinganishwa! lame excuses, wanajaribu kuexpolit ujinga wa Watanzania ambao hupokea taarifa bila kuchekecha! Hatusemi kuwa Dowans ni clean company, but tujiulize Dowans imeingiaje katika sakata la ufisadi wa Tanzania. Kama si Dowans, umeme uliokuwa uzalishwe na Richmond usingekaa upatikane. Mhariri amejifuta matongotongo na kuamua kueleza what I think is the best opinion kulinganisha na blaablaa za watu kama Mwakyembe, Sitta na Shelukindo!
nawaomba wazalendo wenzangu tusirudi nyuma katika mapambano haya japo mafisadi wanazidi kujizolea wapambe ( waliolambishwa ) humu jf. Jana tumeambiwa jinsi dowans inavyohusiana na pesa zilizowaweka viongozi wetu madarakani 2005. Ufisadi ni zaidi ya ugonjwa wa tb kwa taifa letu hivyo kitu chochote chenye harufu ya ufisadi, lazima tukikimbie na kukikataa kabisa. Lakini hilo lingewezekana tu kama tungekuwa na viongozi waadilifu kama alivyokuwa marehemu mwanawasa
Two wrongs do not make a right.Blunders za IPTL zisitumike kuhalalisha ujambazi wa Dowans.
As to Absalom Kibanda (Mhariri wa TZ Daima) naafikiana 105% na mtoa hoja kwamba mwelekeo wake na gazeti hilo kwa ujumla ni kana kwamba wameshanunuliwa....I couldnt believe my eyes nilipoona mahala flani wakitumia kauli ya moja kwa moja kwamba Dr Mwakyembe analeta ubaguzi wa rangi.....
Ndo tunaeleka 2010,msimu wa wanahabari kula kwa kutumia kalamu zao.
Kwani tatizo la kununua mitambo ya Dowans liko wapi? Tusiwe brainwashed na "happy go luck" people kama akina Mwakyembe na Sitta! Hivi unaweza kuamini kwmba mitambo ya Dowans ambayo ina miaka mitatu imechakaa kuliko mitambo ya IPTL? Au leo watanzania tumesahau machungu ambayo tunayapata kwa ajili ya mkataba mbovu wa IPTL? Eti wanasema hizi kampuni mbili haziwezi kulinganishwa! lame excuses, wanajaribu kuexpolit ujinga wa Watanzania ambao hupokea taarifa bila kuchekecha! Hatusemi kuwa Dowans ni clean company, but tujiulize Dowans imeingiaje katika sakata la ufisadi wa Tanzania. Kama si Dowans, umeme uliokuwa uzalishwe na Richmond usingekaa upatikane. Mhariri amejifuta matongotongo na kuamua kueleza what I think is the best opinion kulinganisha na blaablaa za watu kama Mwakyembe, Sitta na Shelukindo!
ukisoma mtanzania ya leo utashangaa sana, inamshambulian dr mwakyembe na kumuwekea maneneo mdomoni, hali wakijua kuwa hata slaa ambaye nikatibu mkuu wa chadema alishasema kuwa mwakyembe hana maslahi na wala halazimiki kutangaza maslahi ambayo hanaMitambo ya Dowans ina miaka mitatu tangu iletwe TZ na si tangu ianze kutumika. Ilitumika kwa zaidi ya miaka 10 huko ilikotoka kabla ya kuletwa TZ. Ilikarabatiwa na kupigwa rangi tu. Unajua bei ya umeme ambayo Tanesco hulipa kampuni binafsi, hutegemea kiasi kilichowekezwa. Aliyewekeza zaidi hulipwa bei ya juu. Hivyo kampuni iki-inflate bei ya mitambo na hivyo ku-inflate gharama halisi za uwekezaji, hudai bei ya juu kuliko hali halisi. Na hii ndiyo inayosababisha bei ya umeme TZ kuwa juu sana, Hiki cha juu ndicho wakubwa wanagawana. Milipaji halisi ni mtumiaji wa umeme na mtumiaji wa bidhaa zinazozalishwa kwa kutumia umeme huo.
Tatizo lingine la mitambo hiyo ni kuwa bei wanayotaka kununulia ni kubwa mno kuliko hata kununua mitambo mipya kabisa. Maana yake ni kwamba kuna cha juu hapa wakubwa wanataka kugawana kwa kisingizio cha dharura. Noungana na wale wanaotaka Dk. Idriss ajiuzulu maana baada ya kutangaza kuwa Tanesco imeachana na mipango ya kununua mitambo ya dowans na kutaka shirika lisilaumiwe ikiwa taifa litaingia gizani, hakuna juhudi zozote anazofanya kuanza mchakato wa kuagiza mitambo mipya. Amekaa nasubiri taifa liingie gizani halafu aseme, si niliwaambia?
Taifa haliatingia gizani bali lintaingizwa kimaksudi gizani. Sasa hivi tayari giza limeanza wakati mabwawa yamejaa maji! Huu si mchezo wa kitoto? Hapa ndipo tunasema 'mtu mzima ovyo'