Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,578
- 28,698
Mhandisi akipiga maji mara baada ya kumaliza kazi.
No complications.
No complications.
Kwa mhandisi hapo anakwambia every risk is calculated.......Aiseeh..... ubunifu!!!
Japo hatari lakini salama.
I want to say the sameMatumizi mabaya ya rasilimali
Kwani umeambiwa mwanauchumi huyo??? Hizo hasara yy hazifikiriiDaaaah nimeipenda sana....sasa hapo hayo mafuta ya kumsha iyo mashine si bora angenunua ndoo ya buku mbili ili aoge???
Matumizi mabaya ya rasilimali
Daaaah nimeipenda sana....sasa hapo hayo mafuta ya kumsha iyo mashine si bora angenunua ndoo ya buku mbili ili aoge???
Mhandisi akipiga maji mara baada ya kumaliza kazi.
No complications.
![]()
Delete na download upya huenda itakuwa sawaMods naomba msaada jamani kwangu Picha sasa hivi hazionekani kwenye hii app yenu kwani tatizo ni nini
Kama inatumia airtel ni kawaida....chakufanya ukiona haifunguki we i click then itaji download...ikinaliza ndio itafunguka...Mods naomba msaada jamani kwangu Picha sasa hivi hazionekani kwenye hii app yenu kwani tatizo ni nini