. hivi kumbe hata kama ukisoma hadi uwe na phd kama ulizaliwa na udini moyoni fikra zako haziwezi kubadilika?.
namwangalia bashiru alli sasaivi mhadhiri wa udsm akihojiwa na kassim kaira wa bbc kutoa maoni yake kuhusu marekani kuingilia kijeshi kuwapiga wanamgambo wa kiislam ISIS wa iraq wanaowasilimisha wakristo na kuwalipisha kodo pamoja na kuwafukuzia jangwani kusikokuwa na maji. yeye bashiru amepiga hatua hiyo ya marekani kuingilia kati akitoa sababu kuwa marekani mbona haijaingilia maeneo mengine kwanini iwe tu iraq...anaonekana wazi kabisa anasapoti wanamgambo wa kiislam kwa kile wanachokifanya iraq kwa wakristo kuwalipisha kodi na kuwaua na kuwafukuzia jangwani. hivi kumbe hata kama ukisoma hadi uwe na phd kama ulizaliwa na udini moyoni fikra zako haziwezi kubadilika? unajua hata hapa tz kuna watu wanawasapoti kile kinachofanywa na wapiganaji wa kiislam iraq? ajabu aisee.
jamaa boya yule, sijui anafundisha nini udsm

Bashiru yuko sahihi kwani hao washenz wa marekani wameona mauaji yanayofanyika palestina ni sahihi ndo maana wapo kimya!
namwangalia bashiru alli sasaivi mhadhiri wa udsm akihojiwa na kassim kaira wa bbc kutoa maoni yake kuhusu marekani kuingilia kijeshi kuwapiga wanamgambo wa kiislam ISIS wa iraq wanaowasilimisha wakristo na kuwalipisha kodo pamoja na kuwafukuzia jangwani kusikokuwa na maji. yeye bashiru amepiga hatua hiyo ya marekani kuingilia kati akitoa sababu kuwa marekani mbona haijaingilia maeneo mengine kwanini iwe tu iraq...anaonekana wazi kabisa anasapoti wanamgambo wa kiislam kwa kile wanachokifanya iraq kwa wakristo kuwalipisha kodi na kuwaua na kuwafukuzia jangwani. hivi kumbe hata kama ukisoma hadi uwe na phd kama ulizaliwa na udini moyoni fikra zako haziwezi kubadilika? unajua hata hapa tz kuna watu wanawasapoti kile kinachofanywa na wapiganaji wa kiislam iraq? ajabu aisee.
Palestina na Iraq wapi na wapi? Ukilaumu suala la Palestina ni sawa lakini si haki kucompare!!! Kule middle east mbona both sides zina makosa? Yale mahandaki hukuyaona? Na hizo rockets je? Israel also is to blame. Numerous children and innocent civilians have been butchered. Lakini Hamas ndio wanaanza na Israel wanaretaliate vibaya. Both side are to blame in middle east!!! Sasa Iraq ni hao magaidi tu wanatesa minorities. Sasa wameteka wasichana kibao wa kabila la Yazidi! Ni haki hii? Hawafai kabisa na huyo mhadhiri hakujibu maswali kalalamika tu. I think he was not objective.
Mkuu Hute hata mimi nilimsikiliza nikashangaa sana,et kwanini U.S.A haikuingilia Gaza ilivyokuwa inapigwa mabom na Israel anawaingilia IS kwa kuwaua Wakristo,point ya America ni kuyalinda makundi madogo madogo ikiwapo hao Wakristo,amefunga macho kuona kwamba Gaza ilikuwa ni piga nikupige wakati Iraq ni watu wanafanya mauaji dhidi ya jamii dhaifu isiyoweza kujilinda,sitaki kuamini kwamba ni imani yake iliyomfanya atamke hayo ila kama ni wachambuzi bbc wamtoe kwenye list yao hana anachochambua.
Muache mwl wangu.anachosema kina mantiki sio kwamba anaunga mkono ugaidi.kwanini Marekani awakusaidia Naigeria Bhoko haram inapo fanya mauaji.Maana najua awana uwezo wa kuizuia Israel. Kwanini Usa Wanachagua mbona awakwenda central Africa?
Amini usiamini, makanisa yameua nchi hii kwa kutuletea Division one za kanisa ambazo zimewafanya weneyenazo kutotumia akili kabisaaaa! Sasa kama ww unamtetea Israel na mwenzako anawatetea hao "waislam" wa iraq, then tofauti zenu nyie nini?Sir mimi;
Sipendi saana kukomenti hoja ka hizi lakini ninapoona mnawapaka mafuta hawa jamaa kwa mgongo wa chupa nachukizwa. Huyo jamaa Bashiru alionesha jinsi ambavyo Uhadhiri wake alivyoupewa tu kwa Udini wake. Hawa ni wale ambao wanaambiwa "Mpeni huyo ni mwenzetu".
Haiwezekani, msomi aweze kulinganisha Gaza na Iraq. Hawa ndo wanaoona kuwa ni haki Israel wauawe hata kwa kutumia watoto wa Kipalestina ka ngao dhidi ya marocket ya Israel. Wao wanatumia mashule, mahospital na residential houses kurushia marocket yao, Israel wakiwajibu wanakuwa wa kwanza kulalama.
Huko Iraq, hao watoto wa kikristo, mama zao na babazao wanapokatwa vichwa (Watoto) wanapobakwa (Wamama) na kunyongwa (Wababa) wanakosa gani kama si kutokumsujudia huyo allah! Kweli, msomi anayejitanabahisha na mauaji, ni hatari kuliko ukoma. Mwepukeni.
Amefungwa macho wala haoni kisa mahaba na dini yake. Hata dini hiyo yake tuiogope.
Huyu jamaa msomi lakini ni bonge la mbulura, kwa hiyo anaona ni sawa watu kulazimishwa dini wakikataa wauwawe?