Mhadhiri UDSM: Rais Magufuli, Tanzania sio kampuni yako binafsi

Kuna tofauti kubwa kati ya kufundisha CRITICAL THINKING na POLITICAL THINKING. Tatizo lililopo ni kuwa lectures siku hizi zimegeuzwa kuwa sehemu za wahadhiri kuhubiri siasa yaani hata mhadhiri wa Engineering Mathematics 1 anafundisha 'political thinking'.
 
Anaongelea sheria, haki na wajibu, ni mambo muhimu ingawaje kuna watu wanayapindisha hayo kwa maslahi yao binafsi. Ila haki ya kila mmoja wetu ikizingatiwa taifa zima linainuliwa.
 
Ni ngumu sana ku
Kuna tofauti kubwa kati ya kufundisha CRITICAL THINKING na POLITICAL THINKING. Tatizo lililopo ni kuwa lectures siku hizi zimegeuzwa kuwa sehemu za wahadhiri kuhubiri siasa yaani hata mhadhiri wa Engineering Mathematics 1 anafundisha 'political thinking'.
Ni ngumu sana kutenganisha politics na maisha ya kila siku. Politics huathiri maisha yetu yote. Decisions zinazofanywa na wanasiasa ndiyo huamua maisha yetu ya kila siku kwa nyanja za elimu, afya, miundo mbinu , maji, na kila kitu. Kwa hiyo, maisha yetu yote yamefichwa kwenye maamuzi ya kisiasa. Kwa maana hiyo, huwezi kukwepa kujadili siasa hata kama wewe ni mhandisi, daktari, mwalimu etc
 
Profesa UDSM amemkosoa vikali Rais Magufuli kuhusu anayoyafanaya na serikali yake

'Frustration' haijawahi kumwacha mtu salama! Huyu mama mshaurini amalize vurugu za mahusiano yake kwenye unyumba, asihamishie hasira zake kwa Magu wetu! Huruma kweli...!
 
Huyu mhadhiri ana matatizo ya ufahamu:-
(i). Rais kununua ndege - zimeandikwa jina la Magufuli si ni za nchi??

(ii). Rais anapambana na rushwa na ufisadi - fedha zinazookolewa si zinasaidia watanzania ie afya, elimu, miundombinu, nk nk??

(iii). Rais wetu asimamia uwajibikaji wa taasisi za umma na binafsi - wanaofaidika si wananchi wa Tanzania???

Rais naomba azibe masikio ili atusaidie kupata maendeleo ya kijamii na kiuchumi.
 
'Frustration' haijawahi kumwacha mtu salama! Huyu mama mshaurini amalize vurugu za mahusiano yake kwenye unyumba, asihamishie hasira zake kwa Magu wetu! Huruma kweli...!
Zitto alimkula akamzalisha na akasepa kwa mwanamke mwingine. Ni kama ana mastress anatamani afe au chochote kimtokee maana hana pa kushika. Hana jipya na PHD yake ya ngoma za jadi huyu binti. Anatumiwa tu na hana jipya.
 
Mkuu anatumiwa na nani?
 
Unachosema ni kweli. Je, Maneno ya huyu mama yana ukweli kiasi gani?

Yana ukweli ila inabidi aelewe kuwa hii nchi ilipinda mno na huwezi ongoza nchi iliyopinda bila kuinyoosha….tatizo lake liko hapa tu na ndiyo maana nimesema wasomi wetu nao ni kama vile hawana akili kwani bado wana ile akili ya kukariri vitu.
 
Zitto alimkula akamzalisha na akasepa kwa mwanamke mwingine. Ni kama ana mastress anatamani afe au chochote kimtokee maana hana pa kushika. Hana jipya na PHD yake ya ngoma za jadi huyu binti. Anatumiwa tu na hana jipya.
muache atoe maoni yake ! Wewe tua ya kwako tulinganishe
 
Zitto alimkula akamzalisha na akasepa kwa mwanamke mwingine. Ni kama ana mastress anatamani afe au chochote kimtokee maana hana pa kushika. Hana jipya na PHD yake ya ngoma za jadi huyu binti. Anatumiwa tu na hana jipya.

Kazi ya mwanamke kuliwa hiyo ni nature, ndiyo maana na wewe uko hapa kwa sababu kuna mtu aliliwa!

Acha unyanyapaa wewe kwa akina mama!
 
Nilitarajia ungekuja na majibu ya kisayansi, kumbe....Anyway, MUNGU ni wetu sote
Uhamiaji ndio wanakibali hicho mkuu cha uchunguzi wa kisayansi mm utakua unanionea tu ndio maana nikakushauri usogelee dawati lao pale uupate kujua ww raia wa wapi ila ongozana na huyo mchambuzi wako
 
Huyu kwanza ni demu wa ZZK na kazaa nae. Anaitwa Vicensia Ahule ni Mchaga na kwao ni pale tu unapomaliza gereza la Karanga Moshi kama unaelekea Arusha. Baba yake alikuwa na Bar inaitwa Tanzania. "Tanzania Bar". Mpaka hapo nafahamu mshajua ni nini anafanya. Hana jipya anatumiwa tu. Popularity hunting pia.
Uzi umetulia...analazimisha umaarufu naona sasa wanakuja kama familia akitoka baba anakuja mama yan yajayo yanafurahisha haaahahaa
 
Back
Top Bottom