shirley myles
JF-Expert Member
- May 19, 2018
- 916
- 612
Utasikia anahitajika central, huyu mama safi sana
Nilitarajia ungekuja na majibu ya kisayansi, kumbe....Anyway, MUNGU ni wetu soteNe
Kaka nenda pale uhamiaji kawaambie wakuangalie ww raia wa wapi watakupa jibu na ingependeza ungeenda na huyo mdada ungepata jibu sahihi sana
Leka alukwegeAho Lelo !!!
Huyu kwanza ni demu wa ZZK na kazaa nae. Anaitwa Vicensia Ahule ni Mchaga na kwao ni pale tu unapomaliza gereza la Karanga Moshi kama unaelekea Arusha. Baba yake alikuwa na Bar inaitwa Tanzania. "Tanzania Bar". Mpaka hapo nafahamu mshajua ni nini anafanya. Hana jipya anatumiwa tu. Popularity hunting pia.Watu sasa wamechoka.....
Wanaamua kujilipua tu, maana wameona ile kumlemba huyo Jiwe wakati watu wanaumia, hiyo haijengi....
Mkuu hayo Ni Mawazo yako ..Mimi nakubaliana Na hoja Zote Zilizotolewa Hakuna Wa Kumgusa Mhadhiri wala Max..ndiyo Maana Nikasema tuendelee kupambania haki.Wamteke ananinii huyo au ww ndio utamteka naona unaanza kuandaa mazingira ili ufanikishe lengo lako lakini ili mradi usha predict humu basi lolote likitokea kwake kama ulivyotabiri basi tutarudi kwako mkuu kukupa hongera
Watu sasa wamechoka.....
Wanaamua kujilipua tu, maana wameona ile kumlemba huyo Jiwe wakati watu wanaumia, hiyo haijengi....
TrueeHuyu dada akifikisha miezi miwili bila kupata tatizo lolote ikiwemo kuzushiwa kesi achilia mbali kutekwa na watu wasiojulikana ,MODS wanipige life ban Maxence Melo.
Kautoa wapi huo umalaikaWasianzishe tu mchakato wa kuichunguza na kuhoji PhD ya malaika.
Kautoa wapi huo umalaika
Tanzania pia kuna electoral collegeKama kura haziamui mshindi.
WASINGEKUWA WANAIBA KURA.
KuzimuKautoa wapi huo umalaika
Namna tu ya justificationKama kura haziamui mshindi.
WASINGEKUWA WANAIBA KURA.
kumlemba huyo Jiwe