Mie nadhani utakuwa ni ushauri mzuri na wenye manufaa kwa Taifa. Lakini si mbaya pia kushiriki moja kwa moja toka uwanja wa mapambano walau kwa kutumia Sabbatical Leave ya miaka 5. Toka hapo akirejea ataweza kuoanisha kiada (curriculum) na mahitaji halisi kwenye uwanja wa mapambano!Nitamshawishi atumie vema jukwaa alilonalo UDSM kuzalisha vijana watakaokuwa na kufuzu kwa misingi na vigezo kama ambavyo yeye amerithishwa na Haroub. Bila shaka itakuwa na manufaa zaidi
Bashiru zamani nilimwona kama msomi ambaye alikuwa anataka kuibadilisha hii nchi, ila nilimushuhudia kwenye kituo kimoja cha tv wakijadili kuhusiana na mabomu yaliyolipuliwa arusha, alikuwa anaongea kama mtu aliyetekwa na siasa za udini, badala ya kuongea hali halisi alijifunua na tukamujua namna alivyo, kwa ufipi mi namwona kama mtu hatari sana na hasa kwa kueneza propaganda za udini. Siku hizi hachambui mambo kama msomi mwenye kutaka kuleta mabadiliko ila anaongea km mtetezi wa dini fulani na pia kama mchocheza na mchonganishi
hapo ndo tunapokosea......Mie nadhani utakuwa ni ushauri mzuri na wenye manufaa kwa Taifa. Lakini si mbaya pia kushiriki moja kwa moja toka uwanja wa mapambano walau kwa kutumia Sabbatical Leave ya miaka 5. Toka hapo akirejea ataweza kuoanisha kiada (curriculum) na mahitaji halisi kwenye uwanja wa mapambano!
Nitamshawishi atumie vema jukwaa alilonalo UDSM kuzalisha vijana watakaokuwa na kufuzu kwa misingi na vigezo kama ambavyo yeye amerithishwa na Haroub
Bila shaka itakuwa na manufaa zaidi
Bashiru zamani nilimwona kama msomi ambaye alikuwa anataka kuibadilisha hii nchi, ila nilimushuhudia kwenye kituo kimoja cha tv wakijadili kuhusiana na mabomu yaliyolipuliwa arusha, alikuwa anaongea kama mtu aliyetekwa na siasa za udini, badala ya kuongea hali halisi alijifunua na tukamujua namna alivyo, kwa ufipi mi namwona kama mtu hatari sana na hasa kwa kueneza propaganda za udini. Siku hizi hachambui mambo kama msomi mwenye kutaka kuleta mabadiliko ila anaongea km mtetezi wa dini fulani na pia kama mchocheza na mchonganishi
Jamaa ana dharau sana! Arrogant! Namjua tangu 2004 nikiwa UD!!
Kwani nasi hatujui wakuu wa idara za kitaaluma na wahadhiri wanavyofanya kwa wanafunzi wakiislamu na mabaya kwa wakristo kusudi muonekane mnafaulu kumbe wapi majina yenukwann mkiona majina ya kiislam roho zenu zinawajaa chuki, husda, fitna na upumbavu? Mnadhani mnayofundishwa huko makanisani na akina slaa hatuyajui? Hii nchi siyo ya kanisa wala ya wakristo peke yao wala sio ya waislam peke yao. Ndio chuki mliyonayo kwa kikwete kisa dini yake. Mtakufa km mimbwa koko na chadema yenu ya kiliberali
I knew it'd turn out this way! There is nothing nowadays that could be discussed in here regarding Tanzanian society without this :'udini' thing, especially when a muslim or muslims are part of the subject. The stone age still exists.