Mtoa post hajatueleza historia ya Mhadhari na huyo binti kutafutana kabla ya hili sakata la Dar es Salaaam. Hata kama mhadhiri mshamba kiasi gani HAPA INAONEKANA HAWA wanajuana vizuri, na mnavyosema ATUNZE msgs na MHADHIRI nae mnamshauri the same, I guess nae anaweza kuwa na msgs za huyo binti. Huyo binti afunguke zaidi, na historia yao kabla ya kuja Dar es Salaam, huko chuoni which I am pretty sure ni RUCO, je walikuwa wanafahamiana? Kivipi? Jamaa inaonekana kisha kula mzigo, demu ameamua kumzuga MFADHIRI, labda kwasababu nyingi IKIWEMO hawa wahadhiri vijana kuwachangayanya sana wasichana wengi...