MH17 missile 'came from Russia'

MH17 missile 'came from Russia'

Sexer

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2014
Posts
8,567
Reaction score
8,327
Uchunguzi uliokuwa ukiendeshwa na mataifa ya Waholanzi, Australia, Belgium, Malaysia na Ukraine wabaini kuwa kombora lilitumika kuangusha ndege ya shirika la Malaysia Airlines katika anga la Ukreine miaka miwili iliyopita na kuuwa takribani watu 298.

Kombora aina ya BUK au SA-11 ambalo liliazimwa kutoka Urusi kisha likatumika kufanya shambulio hilo na kurejeshwa nchini Urusi.

29Malaysiaair-web-master768.jpg

========

UNITED NATIONS — A Dutch-led investigation has concluded that the powerful surface-to-air missile system that was used to shoot down a Malaysia Airlines plane over Ukraine two years ago, killing all 298 on board, was trucked in from Russia at the request of Russian-backed separatists and returned to Russia the same night.

The report largely confirmed the already widely documented Russian government role not only in the deployment of the missile system, called a Buk, or SA-11, but the subsequent cover up, which continues to this day.

The report by a team of prosecutors from the Netherlands, Australia, Belgium, Malaysia and Ukraine was significant for applying standards of evidence admissible in court, while still building a case directly implicating Russia, and is likely to open a long diplomatic and legal struggle over the tragedy.

With meticulous detail, working with cellphone records, social media, witness accounts and other evidence, Dutch prosecutors traced Russia’s role in deploying the missile system into Ukraine and its attempt to cover its tracks after the disaster. The inquiry did not name individual culprits and stopped short of saying that Russian soldiers were involved.

A summary of the findings, obtained by The New York Times, was to be released at a news conference in The Hague on Wednesday. The inquiry represents the most detailed investigation to date of the attack on Malaysia Airlines Flight 17, a Boeing 777 flying to Kuala Lumpur, Malaysia’s capital, from Amsterdam.

In Moscow on Wednesday, in anticipation of the release, President Vladimir V. Putin’s spokesman, Dmitri S. Peskov, issued a statement to reporters decrying “speculation” about the plane but it did not refer specifically to the report.

“This whole story, unfortunately, is couched in a huge amount of speculation, unqualified and unprofessional information,” he said. “There are irrefutable facts. In this case, it is important to draw conclusions with due account of the latest published information, that is, the primary data from radars that detected every airborne object that could take off or be in the airspace above militia-controlled territory,” he said.

Those radar images, released by the Russian military on Monday, showed nothing near the airliner, he said. “If any missile had existed, it could have been fired only from another territory. I do not say which exactly territory it could be. It is specialists’ business.”

The Dutch-led inquiry seems to refute that claim, as well as a series of sometimes contradictory explanations and chains of events floated by the Kremlin, including that the C.I.A. filled a drone airliner with bodies and crashed it to discredit Russia, or that Ukrainians were trying to shoot down the airplane of Mr. Putin, but hit the civilian airliner instead.

That image contradicted a similar radar image that Russian officials showed two years ago. That depicted two dots — one for the airliner and a second for a Ukrainian fighter jet that Russia suggested could have shot down the passenger plane.

The destruction of Flight 17, on July 17, 2014, came amid intense fighting between Ukrainian forces and rebels, backed by Russia, in eastern Ukraine. It deepened the already strained relations between Russia and the West. Among the casualties, the largest group were Dutch.

Just a few days later, the United States government concluded that the plane had been brought down by a Russian-made surface-to-air missile launched from rebel-held territory and most likely provided by Russia to pro-Moscow separatists.

The Dutch Safety Board determined in October that the plane had been shot down by a missile fired from a Buk surface-to-air system.

The report of the Joint Investigation Team, led by the Netherlands’ chief public prosecutor, Fred Westerbeke, corroborated that finding.

It concluded that the weapon used in the attack had been brought to Ukraine from Russia, though it drew no conclusions about who gave the orders to move the weapon and — most important — to shoot.

The investigators did, however, provide a timeline leading up to the destruction of the plane.

First, in intercepted telephone conversations from the evening before the attack, separatists in eastern Ukraine are heard requesting the Buk missile system in order to defend themselves from Ukrainian airstrikes. Later that night, according to the intercepted conversations, they were told they would receive the weapons system that night.

Second, the investigation found that a convoy of trucks brought the missile system, along with a large military vehicle that is used to launch the missiles, from the Russian border to the spot from which the missile was launched.

The team said it used intercepted phone calls, social media posts and witness testimony to piece together the route that the convoy took. It stopped in Donetsk, in eastern Ukraine, the investigation found, where several witnesses saw the trucks, including a white one carrying the missile-launching vehicle.

Third, the inquiry identified a patch of farmland where the missile was launched, about eight miles southeast from where the plane crashed.

Finally, the investigation pieced together what it said was the path the missile system took on its way back to the Russian border. The team said it had spoken to a separatist who confirmed a part of the return route.

Source: The New York Times
 
ehehe huku unakunywa juice ya mbugani,aka serengeti moviee ikiendelea

The JIT presented an audio recording that allegedly proves that rebel forces voiced a need for a Buk missile system, and subsequently received one.

The investigators claim that a Buk missile system was brought from Russia and was returned to the country after the incident.
 
Joint Investigation Team (JIT) consists of investigators and experts from the Netherlands, Belgium, Australia, Malaysia and Ukraine, interesting group of countries
 
Mie sikuona ajaabu hata wangelisema IS IS au AQ au Boko, ALS... !! Media ipo mikononi mwako, basi huweka wanachotaka masikioni mwetu !!!
Wanajitengenezea kaburi moja kubwa wasilolijua, wanadhan kuwa bado watu hawaelew chochote wafanyacho hawa wamarekan, vizazi na vizazivinazid kujenga chuki juu yao. Angalia Syria kiendeleacho hiv wale watoto wakikua na wakisoma hostoria ya nchi yao wanakuwa na picha gan akilin?
 
Inside Job ile... Wale wana sayansi walikua patent za kutib magonjwa kibao ingewaharibia biashara.. like some one said hapo juu kwa comments jamaa wana control media so tunaambiwa chochote tu
 
Amna siku russia walikiri kuhusika na matukio km haya...wataendelea kukataa milele hata iundwe kamat gan
 
Hiyo ripoti ndio kwanza inatua Bongo kwa Mzee Wa Mikwara, badala kufika kwa walengwa
 
Joint Investigation Team (JIT) consists of investigators and experts from the Netherlands, Belgium, Australia, Malaysia and Ukraine, interesting group of countries

Kinara aliye simamia report hiyo ni Uncle SAM, cha kuchekesha zaidi wahundaji wa BUK Missiles hawakuwemo kwenye group ya so called experts, why? walicho fanya pale ni usanii tu - no wonder Uholanzi haikuhusisha ajali hiyo moja kwa moja na Urusi,wako smart licha ya shinikizo la Marekani la kutaja kulazimisha mambo ya maslahi yake hatarishi.

Ukraine waliambiwa watoe audio conversation baina ya ma Air traffic controllers na mapilot wa Air Malysia wakati ndege ikiwa kwenye anga la Ukraine awataki kuitoa kwa sababu ma Controller walishikizwa na ma commander wa jeshi la Ukraine wawambie ma Pilot wa divert mwelekeo ili ndege ipite sehemu ambayo jeshi la Ukraine lilikuwa limeweka Kombora hilo wakiwa na lengo la kuitungua. Urusi iliwambia wachunguzi kwamba Ukraine waonyeshe picha zilizo pigwa na radar za kiraia na kijeshi nchini Ukraine ziliona nini wakati ndege inatunguliwa - Ukraine wako kimya kabisa kwa nini?

Haya kampuni inayo hunda makombola hayo ilisema makombola hayo diju hizi hayatumiki ndani ya jeshi la Urusi yalisitishwa uhundwaji wake zaidi ya miaka kumi na tano iliyo pita, Jeshi lao linatumia type nyingine kabisa, hisipo kuwa Ukraine na nchi zilizo hunda USSR ya zamani nchi hizo bado wanayo makombola hayo mpaka sasa - na hilo likapuuzwa!!

Mimi ninacho kiona hapo ni mbinu za US kutaka kuonyesha Dunia kwamba Warusi ni hatari ili mataifa yaliyo karibu na mipaka ya Urusi na Ulaya kwa jumla wajione hawako salama, hizo ni mbinu za USA kutaka kuwauzia silaha na kuwateka akili, wabaki watumwa wa US kijeshi na kibiashara wanajua Wachina na Warusi wakielewana na watu wa Ulaya Kibiashara na Uchumi basi Marekani itakuwa isolated i.e no longer relevant ndani ya Continental Europe Asia (middle na far east) hivyo ushirikiano huo Marekani ina ugopa sana sana usitokee ndiyo maana muda wote wana angahika kuchonganisha nchi kwa nchi na kuwa tisha tisha na mambo ya kutunga tu kuhusu Warusi walivyo hatari - wanaonekana kama wamechanganyikiwa vile - baada ya kugundua kwamba agenda za kuhunda New World Order zinapingwa vikali na Wachina,Warusi,Wairan, India, Korea ya Kasikazini nk.

Watafanya vitimbi vyao vya hapa na pale lakini hawatathubutu kuivamia Urusi au Uchina na hilo wanalijua sana.
 
tafiti hujibiwa kwa tafiti, umeandika maneno meeengi afu pumba tupu, nenda na wewe ukafanye utafiti afu utoe ripoti ya kwamba sio russia bali ni fulani.
 
tafiti hujibiwa kwa tafiti, umeandika maneno meeengi afu pumba tupu, nenda na wewe ukafanye utafiti afu utoe ripoti ya kwamba sio russia bali ni fulani.

Labda nikumbushe kwamba hapa kila member ana uhuru wa kueleza/analyse kadri ya uwezo wake na hii inahambata na exposure kama ujui exposure counts a lot, one more thing - nakushauri ujifunze kuheshimu binadamu wenzako hata kama ukabaliani nao leta hoja mbadala na siyo unaleta lugha za vijiweni, lugha za vijiweni zina dhilisha kwamba Elimu yako ina walakini i.e ni borderline kabisa ndiyo maana unajihami hami masaa yote kutaka kulazimisha maoni yako kwa wengine - we sema unacho kifahamu members watachuja wenyewe lipi lina mantiki, don't force your skewed opinions down ya throat za wengine, as I said members wote wana reasoning capacities ya kupima mambo don't you forget that.

Leo nimejaribu kukustahi kidogo, lakini usije ukajidanganya kwamba ntaendelea ku entertain lugha zako za ki Getto Getto - nikihamua ku retaliet hapa patakuwa hapakaliki nakwambia maanake naona umezoea.

Mtu wa ajabu sana, hivi katika maisha yako umewahi kutembelea nchi gani za maana zaidi ya kukaa kwenye keyboard au pad ya smartphone ana copy na ku paste mambo ya MSM raw bila ya ku digest waleta habari wana lengo gani ki-Geopolitikali hupo hupo tu.

Nakupa onyo la mwisho ujifunze jinsi ya ku address binadamu wenzako - hapa tunaelemishana hakuna ushindani wowote - ila mtu hasipo kuwa na open mind, matokeo yake ndiyo hayo kufoka foka ovyo na kutumia maneno ya mitaani.
 
Inside Job ile... Wale wana sayansi walikua patent za kutib magonjwa kibao ingewaharibia biashara.. like some one said hapo juu kwa comments jamaa wana control media so tunaambiwa chochote tu
Consipiracy theories hata ile iliyoanguka baharini mabaki yake yakaokotwa zenj mara walisema kulikuwa na wanasayansi mara wakasema kulikuwa na kifaa cha kijeshi cha wamarekani wachina walikinunua from taliban.
Hizi ni conspiracy theories tu
 
Inside Job ile... Wale wana sayansi walikua patent za kutib magonjwa kibao ingewaharibia biashara.. like some one said hapo juu kwa comments jamaa wana control media so tunaambiwa chochote tu
Yap, mimi pia nilifikiri hivyo. Drug Cartel hasa za US wana trade uhai wa binadam na hao Madr walikua dedicated na commited ktk kuleta tiba rahisi ya UKIMWI na walikua Safarini kuelekea kwenye AIDS Summit. US/ Drug cartel ndio zilikua nyuma ya hayo Mauaji.
 
Labda nikumbushe kwamba hapa kila member ana uhuru wa kueleza/analyse kadri ya uwezo wake na hii inahambata na exposure kama ujui exposure counts a lot, one more thing - nakushauri ujifunze kuheshimu binadamu wenzako hata kama ukabaliani nao leta hoja mbadala na siyo unaleta lugha za vijiweni, lugha za vijiweni zina dhilisha kwamba Elimu yako ina walakini i.e ni borderline kabisa ndiyo maana unajihami hami masaa yote kutaka kulazimisha maoni yako kwa wengine - we sema unacho kifahamu members watachuja wenyewe lipi lina mantiki, don't force your skewed opinions down ya throat za wengine, as I said members wote wana reasoning capacities ya kupima mambo don't you forget that.

Leo nimejaribu kukustahi kidogo, lakini usije ukajidanganya kwamba ntaendelea ku entertain lugha zako za ki Getto Getto - nikihamua ku retaliet hapa patakuwa hapakaliki nakwambia maanake naona umezoea.

Mtu wa ajabu sana, hivi katika maisha yako umewahi kutembelea nchi gani za maana zaidi ya kukaa kwenye keyboard au pad ya smartphone ana copy na ku paste mambo ya MSM raw bila ya ku digest waleta habari wana lengo gani ki-Geopolitikali hupo hupo tu.

Nakupa onyo la mwisho ujifunze jinsi ya ku address binadamu wenzako - hapa tunaelemishana hakuna ushindani wowote - ila mtu hasipo kuwa na open mind, matokeo yake ndiyo hayo kufoka foka ovyo na kutumia maneno ya mitaani.

huna heshima, umefunzwa vibaya. watu wamefanya utafiti, wamefika eneo la tukio afu wewe bila kufanya utafati wowote wala bila kufika hata 20,000km lilipotokea tukio unakuja hapa kupinga kisa tu utoe hayo mapovu ya bia! huo ni ukosefu wa nidhamu kwa kiwango cha juu.
inaonesha ulienda shule ila hujaelimika na ndo maana unaandika kwa lugha mbilimbili afu kwa akili yako fupi unaona ndo usomi.
 
Nilisha kwambia tatizo lako ni inferiority complex si kitu kingine. Members wengi wenye uelewa mzuri wa mambo wanajua mambo mengi hasa hasa ambayo ni technical - unachapia tu.

Revisit your comments, unafikiri majibu yako yanadhilisha nini? There you are!! Busy swallowing MS media, hook, line and sinker - typical Lamo par excellence - need I say more?
 
wewe tatizo lako hujaelimika na uhaya mwingi sana ndo unakusumbua
 
wewe tatizo lako hujaelimika na uhaya mwingi sana ndo unakusumbua

Mtu ambaye anashindwa kuelewa hata earth's circumrerence ina kilometer ngapi ndiye anakuja na usanii eti tukio litokea zaidi ya 22,000km kutoka Tanzania au Uingereza usanii tu, nautical kms ngapi kutoka Tanxania kwenda Ukraine as the crow flies - hupo hupo tu!!

Nimeku study kwa muda mrefu - ndiyo maana na kwambia mambo mengi unachapia kufurahisha wana JF mpaka unafukia kutumbukiza masuala ya Ukabila!! Mimi mbona sijui Kabila lako and it doesn't bother me.
 
Mtu ambaye anashindwa kuelewa hata earth's circumrerence ina kilometer ngapi ndiye anakuja na usanii eti tukio litokea zaidi ya 22,000km kutoka Tanzania au Uingereza usanii tu - nimeku study kwa muda mrefu - ndiyo maana na kwambia mambo mengi unachapia kufurahisha wana JF mpaka unafukia kutumbukiza masuala ya Ukabila!! Mimi mbona sijui Kabila lako and it doesn't bother me.

naona unajitekenya afu unacheka mwenyewe, nilisema wewe ujafanya utafiti wala kufika japo umbali 20000km kutoka eneo la tukio afu unawapinga watu waliofanya utafiti na wamefika eneo la tukio
 
naona unajitekenya afu unacheka mwenyewe, nilisema wewe ujafanya utafiti wala kufika japo umbali 20000km kutoka eneo la tukio afu unawapinga watu waliofanya utafiti na wamefika eneo la tukio

Soma nilicho andika nimeongeza kidogo kaelimu labda hicho kinaweza kukutia akili kidogo - ukachana na mambo ya ku argue like a toddler.

Ukiwa msikivu utajifunza mengi, ukiwa overly argumentative itakula kwako - been warned na nakwambia haya kwa nia njema tu.
 
Back
Top Bottom